Blog Archives

NAMNA YA KUITOA DHAMBI NDANI YAKO (ADDICTION)!

  “Shetani hana nguvu akiwa NJE YA MTU mpaka anapopewa nafasi na mtu ya KUINGIA NDANI YAKE. Mungu alimwambia Kaini; ANGALIA DHAMBI IKO MLANGONI INAKUOTEA (Mwanzo 4:7). Mtu aliyeokoka yuko salama dhambi ikiwa nje, hata kama iko mlangoni, LAKINI akifanya

Tagged with: , , , , ,
Posted in Mafunzo

Kunatofauti Kubwa

“Kuna tofauti kubwa kati ya wanaofanya vitu ili waonwe na kusifiwa na watu na wale wanaofanya vitu ili kugusa na kubariki maisha ya watu… Wanaotafuta sifa kwa watu wanacompromise na kuwaharibu watu kwa kutowaambia ukweli ili wasiwapoteze au wasichukiwe… Ila

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo

Dhambi ni ugonjwa

“Dhambi ni ugonjwa kama magonjwa mengine ukipata tiba sahihi na stahiki unaponywa kabisa… Acha kusikiliza maneno ya wagonjwa wanaosema mtu hawezi kuishi duniani akawa mtakatifu… Hao ni wagonjwa, wanaumwa… Wakipata tiba kama tuliyopata sisi watageuza lugha yao… Dhambi gani inakutesa?

Tagged with:
Posted in Mafunzo

Dhambi

“Ukiishinda dhambi tu, hakuna kitakachokuzuia kung’aa hapa duniani” (Mithali 4:18).     – “18 Bali njia ya wenye haki ni kama nuru ing’aayo, Ikizidi kung’aa hata mchana mkamilifu.” Mwl D.C.K

Tagged with:
Posted in Mafunzo

DHAMBI NINI??

“Dhambi Ni Kitu Chochote Au Jambo Lolote Ambalo Wewe Unafanya Ambalo Kama Yesu Angekuwa Wewe Asingefanya” Tafakari Hii Usiku Wa Leo. Mwl D.C.K dicoka@rocketmail.com

Tagged with:
Posted in Mafunzo

INAWEZEKANA… DHAMBI KUBWA NA NDOGO?

“NimewasikiaWatuWakisema Kuna DhambiNdogo Na Kubwa… KwenyeBibliaSijaionaHiyo… Ila Inawezekana… Inawezekana Kwa MantikiIfuatayo: HATAMAKABURINIHAKUNAWAFU WA AINA NA UMRIMMOJA… KUNAWATUWAZIMA NA WADOGOMAKABURINI… KUNAWANAUME NA WANAWAKEMAKABURINI… NI AINA TOFAUTI YA MAREHEMU, WENYE AINA TOFAUTI YA SABABU ZA VIFOVYAO, LAKINIBADOWOTEWAKOMAKABURINI… NDIVYOILIVYOKWADHAMBI, ZIKO ZA AINA TOFAUTI,

Tagged with: ,
Posted in Mafunzo

USISAHAU

“Mungu Hajakuruhusu UTENDE DHAMBI Ila HATAINGILIA UAMUZI WAKO UKIAMUA KUTENDA DHAMBI… Vivyo Hivyo, Mungu Hapendi UENDE JEHANAMU Lakini HATAKUZUIA KWENDA HUKO Endapo Hautachukua Uamuzi Wa KUTOKWENDA Baada Ya Kusoma Kibao Alichoweka Kukuzuia Kilichoandikwa HAPANA WOKOVU KWA MWINGINE CHINI YA JUA

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo

Unapofanya Shughuli Na Kazi Zako Zote Usisahau Hili:,

“Maisha Tuliyopewa Hapa Duniani Ni Mafupi Na Ni Maalumu kwa Ajili Ya Maandalizi Ya Wapi Utaishi Milele… Kila Unachofanya Kwenye Maisha Yako Ya Kila Siku Ndicho Mungu Atakitumia Kuamua Wapi Uishi Milele- Mbinguni Au Jehanamu…. Usipojua Hili, Ni Rahisi Kufanya

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo

HII NI TAMU SANA

Kuna wakati ULIKUWA KWENYE KIFUNGO CHA DHAMBI, Ukiwa kwenye MINYORORO YA UTUMWA WA SHETANI Kwa sababu ya ASILI NA MWILI WA DHAMBI… SHETANI Alikuwa AKICHEKELEA NA KUSHANGILIA Akisema, “MUNGU AMEPOTEZA MAANA KILA MTU NILIYEMUUMBA NIMEMCHUKUA NAKWENDA NAYE JEHANAMU MILELE” Ulikuwa

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo, sala

Je kuna Dhambi ilikuwa inakutesa kwa siri :…..

: NA UNAHANGAIKA KUJIKWAMUA BILA MAFANIKIO??? UJUMBE HUU NI WAKO… Dhambi Yoyote Ambayo UTAIFICHA Na Kutofanya BIDII [Kwenye Maombi Na Kufunga] Na Kumweleza ROHO MTAKATIFU Akusaidie KUJINASUA, Hakika ITAKUANGUSHA! Wakristo Wengi WANAANGUKA DHAMBINI Na Kuacha MINONG’ONO MINGI NYUMA YAO Kwa

Tagged with: , , ,
Posted in Mafunzo
yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,212 other followers

Upcoming Events

No upcoming events