Blog Archives

HEKIMA YA LEO [08-02-2017]

1. Imani isiyo na msingi ni imani isiyo na matokeo mema..Wengi huamini vitu vingi, lakini hawajawahi kuuliza msingi wa wanachoamini ni nini?  2. Kuna wanaoamini kitu kwa sababu ni maarufu au kwa sababu kila mtu anaamini hivyo, bado huo si

Tagged with: , , ,
Posted in Mafunzo

HEKIMA YA LEO [01-02-2017]

1. Uthibitisho pekee kwamba unaamini kitu fulani au jambo Fulani ni pale unapotenda. Pasipo na utendaji hapana Imani. 2. Unaweza kusikia jumbe nzuri zenye kuhamasisha na kusisimua, lakini utakiishi kile ulichokiamini tu na sio ulichokisikia. 3. Tunasikia Mengi, tunajifunza mengi,

Tagged with: , , ,
Posted in Mafunzo

Imani Kubwa

“Mungu anataka tuwe na IMANI KUBWA kama ya madereva. Hawaoni mwisho (hatma), wanachofanya ni KUCOVER UMBALI WANAOWEZA KUONA MBELE YA KIOO CHA GARI, Halafu wakifika pale walipokua wanapaona kama MWISHO WA UPEO WA MACHO YAO, WANAONA UMBALI MWINGINE AMBAO WANAUFUATA

Tagged with: ,
Posted in Mafunzo

SIKU 30 ZA MIUJIZA NA MAAJABU. (SIKU 30 ZA MFUNGO).[Day 16]

Day 16, 20/01/2016. “IMANI YA KUPOKEA MAJIBU YA MAOMBI (FAITH TO RECEIVE ANSWERS FROM PRAYERS)” Ukienda kanisani, kwenye mikutano ya injili au semina, na Mtumishi wa Mungu akasema, “WANAOHITAJI MAOMBI KWA AJILI YA MAMBO YAO WAPITE MBELE” … Utashangaa watu

Tagged with: , , ,
Posted in Mafunzo

Kuzitoa Baraka 003

“Njia ya tatu ya kufanya ili ULIVYONAVYO NDANI vitoke na vidhihirike NJE KWENYE DUNIA YAKO ni KUITUMIA IMANI KATIKA NENO LA MUNGU. Imani ni HAKIKA YA MAMBO YATARAJIWAYO. Imani haibahatishi, imani ni hakika! Imani ina uwezo wa KUYAZAA YASIYOKUWEPO UNAYOYATARAJIA.

Tagged with: , , , , ,
Posted in Mafunzo

Imani vs Amani

“Haianzi AMANI YA KRISTO MIOYONI MWETU bali inaanza IMANI KWA KRISTO KUPITIA NENO LAKE linalozungumzia hali, changamoto, pito au jaribu ulilonalo. Imani ikishakuja moyoni, amani itakuja tu hata kama kwa nje huoni mabadiliko. Neno linakupa kujua kuwa ALIYEAHIDI ANAWEZA NA

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo

IMANI (uhaba wa neno moyoni)

IMANI “Kizuizi kikubwa cha kwanza cha Imani kufanya kazi ni UHABA WA NENO MOYONI MWA MTU… Mtu anaweza kuwa na maandiko kichwani lakini asipotenga muda kuyatafakari, na kupata UFUNUO ambao ndio huleta Imani moyoni, hataona matokeo ya Imani… Imani hukaa

Tagged with:
Posted in Mafunzo

IMANI ya kweli

“Imani ya kweli ya Biblia inayoweza kugeuza maisha yako au kukupa unachokihitaji, haiwi na maneno matupu tu… NI PICHA YA NDANI YA KISICHOKUWEPO ILA KINACHOWEZA KUWEPO endapo Mungu atapewa nafasi ya kuthibitisha Neno lake uliloliamini… Neno la Mungu ukilisoma kwa

Tagged with:
Posted in Mafunzo

Imani ni Uhakika

IMANI “Ni uhakika ulioko moyoni mwa mtu alioupata kwa kuona siri katika Neno la Mungu au kwa kusikia Neno la Mungu likifundishwa au kuhubiriwa kwa ufunuo na kupelekea kuona waziwazi fursa ya kupata kitu ambacho hana sasa, na kujenga tarajio

Tagged with:
Posted in Mafunzo

Imani

Imani ya Biblia inayofanya Miujiza ya Uponyaji itokee inazaliwa kwa “kusikiliza Neno la Mungu” kuhusu: 1. Ahadi za Mungu kuhusu uponyaji 2. Nguvu za Roho mtakatifu zinazotenda miujiza (Luka 5:15, Luka 6:17, Mdo 14:7-10).

Tagged with:
Posted in Mafunzo
yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,212 other followers

Upcoming Events

No upcoming events