Blog Archives

HEKIMA YA LEO [07-02-2017]

​ 1. Hekima, ufahamu na maarifa huonekana katika matokeo aliyonayo mtu. Unaweza usiwe mtu wa kuongea au kujionesha, lakini hekima, ufahamu, maarifa uliyonayo yatakuonesha. 2. Kama una hivi vitu vitatu, lazima utakuwa na matokeo ya kuonesha katika maisha yako. Huweizi

Tagged with: , , ,
Posted in Mafunzo

Jaribu

​”Kila jaribu linalotupata ni KAWAIDA KWA WANADAMU na tayari lina MLANGO WA KUTOKEA, Usichanganyikiwe. Kama Mungu kasema ni la KAWAIDA (common) mimi naanzaje kulipa UPEKEE? KILA JARIBU MAISHANI MWANGU LIMEKUJA NILIUE NA SI LINIUE…SIKO PEKE YANGU, KATIKA MAMBO YOOOOOOOTE NINASHINDA

Tagged with: , , , ,
Posted in Mafunzo

USIOE KWA SABABU :2

  “Wenzako wote uliokua nao au kusoma nao wanaoa. Ndoa si ALISEREMA ARIJA AU MWENGE TUNAUKIMBIZA. Ndoa ni taasisi ambayo Mungu amemuwekea kila mmoja wetu ALARM ya kujua lini aingie huko na inahitaji HEKIMA ITOKAYO JUU kujua ni yupi ambaye

Tagged with: , , ,
Posted in ndoa

usioe kwa sababu

“Usioe kwa sababu unawaka tamaa, hivyo unaoa ili usiendelee kutenda dhambi nje. Dawa ya tamaa si kuoa. Dawa ya tamaa ni kukubali kuwa tamaa inakutesa, ukubali Yesu akufungue, hiyo roho chafu ikuachie. Sasa ukioa kwa ajili ya kukimbia tamaa, je

Tagged with: , , ,
Posted in ndoa

KWANGU MIMI NI BORA

1.Kwangu ni bora mara mia kuwa rafiki wa masikini mwenye KUKAZA JICHO KWA YESU NA AHADI ZAKE, KWA IMANI PASIPO SHAKA, BILA KUANGALIA MAZINGIRA YAKE kuliko kuwa rafiki wa tajiri mwenye kutumainia mali zake na aliyetoa jicho lake kwa Yesu

Tagged with: , , , ,
Posted in Mafunzo

KIJANA WANGU

“Kuoa kwa ajili ya KUPATA UTAMU KITANDANI au kwa vile UNAWAKA TAMAA ni sawa na KULA CHAKULA KWA SABABU YA LADHA YA PILIPILI AU KIUNGO NDANI YA CHAKULA AMBACHO KIUHALISIA SI CHAKULA CHENYEWE. Pilipili haijawahi kuwa sababu ya kula chakula,

Tagged with: ,
Posted in Mafunzo

MAHUSIANO YA KUELEKEA NDOA

NINI KUSUDI LA MAHUSIANO? 1. Kukutengenezea mazingira ya kujifunza kupitia kwa mtu mwingine. Hii ina maana kuna vitu huvijui na hutavijua kuhusu wewe, Mungu, imani, mazingira, uchumi nakadhalika ukiwa peke yako, ila AKIONGEZEKA HUYU MTU kwenye maisha yako, UKILICHUKULIA KAMA

Tagged with: , , , , ,
Posted in Mafunzo

HAPANA

“Am Hot, I Run Men Crazy“ Nimemuona Dada Mmoja Amevaa T-shirt Yenye Maandishi, “Am Hot, I Run Men Crazy” Na Mara Ikaja Kichwani Kwangu Hii, “Not True. You Can Run Boys But Not Men” MEN: Mature Enough To Notice Snares.

Tagged with: , , , ,
Posted in Mafunzo

KWA WENYE MPANGO WA KUOLEWA

“Hivi Mnajua Kwamba UA Halina AKILI WALA UFAHAMU Kama Ulionao Binti? Lakini Mbali Ya Hayo, KILA UA Lina Akili Ya ZIADA [Alilolipa Mungu] Kiasi Kwamba LINAJUA NA KUTAMBUA ‘NYAKATI NA MAJIRA’ Ya KUCHANUA Na ‘KUVUTIA NYUKI’ Na Hata Siku Moja

Tagged with: , , , , ,
Posted in Mafunzo, ndoa

Msaada kwako Kijana

Na Brother Gama Daniel Mwasumbi Nawaandikia sana vijana kwasababu wana Nguvu,na Lengo kubwa la shetani ni kuwadhoofisha kimwili na Kiroho.Asilimia kubwa sana Leo Makanisani tuna vijana wengi ambao wanatamani sana kuishi maisha matakatifu ila kuna maeneo shetani Ameyashika na wanaishi vuguvugu.

Tagged with: , , ,
Posted in Mafunzo
yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,212 other followers

Upcoming Events

No upcoming events