Blog Archives

Mafanikio yanapangwa

Maandiko yanasema, BAHATI (FURSA) NA WAKATI (MUDA SAHIHI ULIOBEBA FURSA) HUWAPATA WATU WOTE (WATU WOTE WANAVYO KWENYE MZUNGUKO WA MAISHA YAO)… Lakini ni wale tu WALIOJIANDAA NA KUWEKA MIPANGO NA MIKAKATI INAYOELEWEKA NDIO WATAKUWA NA MATOKEO YA UHAKIKA KULIKO WANAOSUBIRIA

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo

UAMINIFU: SIRI YA KUTOKA KIMAISHA

NATAKA SIKU MOJA UWE NA KAMPUNI YAKO, BIASHARA YAKO, AU NAWE UWE NA VITEGA UCHUMI VYAKO; KAMA HAUTAKUWA MWAMINIFU KWENYE MALI, KAMPUNI AU AJIRA ULIYOPO, MUNGU HATAKUFANYA UFANIKIWE! “Na Kama Hamkuwa Waaminifu Katika Mali Ya Mtu Mwingine, NI NANI ATAKAYEWAPA

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo

KUHUSU MAISHA NA MUDA

“Ukitaka kujua mtu atafika mbali kimaisha au ni wa hapahapa; Angalia anavyotumia siku yake moja. Maisha ni siku moja moja nyingi alizoishi mtu”

Tagged with: , , ,
Posted in Mafunzo

Kila MLOKOLE MJINGA

“Shetani hatumii makombora na mabomu makubwa kumshambulia ili amshinde. Bali anachukua tu KIBOKO CHA UJINGA anamcharaza kisawasawa hadi BABA WA MBINGUNI ANALIA HUKU AKISEMA: WATU WANGU WANAANGAMIZWA KWA KUKOSA MAARIFA… KWA SABABU LIMEKATAA MAARIFA SASA MIMI NILISAIDIEJE? NIMELIKATAA LISIWE LANGU

Tagged with: , , , , ,
Posted in Mafunzo

UJASIRIAMALI UNAHITAJI ROHO YA PAKA..!!

Wakati fulani huko nyuma nimepata kufanya biashara ya daladala ambapo nilifanikiwa kuwa na daladala kadhaa(Hiace) na mauzo ya “kumwaga” yalikuwa yanaingia “daily”. Kisha nikafanya uamuzi wa kuuza magari yote ili niingie kwenye biashara ya majengo. Ile biashara ya majengo ikanitenda

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo

SIRI ZA MAFANIKIO

“FANYA KITU CHOCHOTE kisichokuhukumu moyoni mwako, unachojua si dhambi mbele za Mungu na ambacho kinaweza kugusa na kugeuza maisha ya mtu mmoja au zaidi. Kifanye tena na tena na tena KWA MOYO WOTE, KWA FURAHA na muda si mrefu, DUNIA

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo

Mafanikio unayo Mkononi mwako

Huwezi kupata nafasi ya kutafsiri ndoto ya mfalme, kama hautumii vizuri nafasi ya kutafsiri ndoto ya mfungwa mwenzako. (Rejea habari ya Yusufu) Dare to start small, it’s the only way to becoming big BIG = small + small + small

Tagged with: , , , ,
Posted in Mafunzo
yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,212 other followers

Upcoming Events

No upcoming events