Blog Archives

HEKIMA YA LEO [23-04-2017]

MAISHA NI SHULE Kujifunza ni wajibu Binafsi – Hata shule iwe nzuri vipi, au mwalimu awe mtaalamu kivipi, mwanafunze asiyeweka bidii kujifunza atakuwa kilaza tu.  – Kujifunza ni kazi inayoiumiza akili, inahitaji mtu mwenye bidii na uwajibikaji binafsi kujifunza bila

Tagged with: , , ,
Posted in Mafunzo

HEKIMA YA LEO [08-04-2017]

ILI KUWEKEZA VIZURI MAISHA YAKO – 5 5. Jiongezee Uwezo • Utawekeza vizuri maisha yako kama utawekeza vizuri ndani yako. Ubora wa utu wako wa ndani utaamua ubora wa maisha yako. • Wekeza maarifa na ufahamu ndani yako, vitafungua macho

Tagged with: ,
Posted in Mafunzo

HEKIMA YA LEO [07-04-2017]

ILI KUWEKEZA VIZURI MAISHA YAKO (5) 5. Jiongezee Uwezo • Utawekeza vizuri maisha yako kama utawekeza vizuri ndani yako. Ubora wa utu wako wa ndani utaamua ubora wa maisha yako. • Wekeza maarifa na ufahamu ndani yako, vitafungua macho yako

Tagged with: ,
Posted in Mafunzo

HEKIMA YA LEO [06-04-2017]

ILI KUWEKEZA VIZURI MAISHA YAKO (4) 4. Jua kwa nini unaishi • Kuwa hai ni uthibitisho tosha kwamba kuna sababu na kusudi la wewe kuwepo. Kusingekuwa na sababu ya wewe kuwepo, basi usingekuwa hai leo. • Umeumbwa kwa kazi maalumu,

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo

HEKIMA YA LEO [05-04-2017]

ILI KUWEKEZA VIZURI MAISHA YAKO (3) 3. Mtangulize Mungu • Mungu ndiye chanzo cha uhai wako na sababu ya kuishi kwako. Bila Mungu usingekuwa hai leo. •   Ile kwamba upo hai ni kielelezo kwamba Mungu ametaka uwe hai katika dunia

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo

HEKIMA YA LEO [04/04/2017]

ILI KUWEKEZA VIZURI MAISHA YAKO (2) 2. Thamini Maisha Ili uwekeze vizuri maisha yako,  ni lazima uyathamini. Hazina yoyote inapaswa kuthaminiwa na kuheshimiwa. Uhai wako ni wa thamani sana, ni wewe tu uliyenao. Hakuna mtu mwingine anayeweza kuwa wewe isipokuwa

Tagged with: , , ,
Posted in Mafunzo

HEKIMA YA LEO [03-04-2017]

ILI KUWEKEZA VIZURI MAISHA YAKO (1) 1. Tambua kuwa unapaswa kuwekeza Maisha Tumepewa nafasi ya kuishi ili tuwekeze au tuitumie vizuri. Ni nafasi ambayo huja mara moja tu, ikiondoka hairudi tena. Muda wa kuishi si muda wa kuchezea, ni muda

Tagged with: ,
Posted in Mafunzo

HEKIMA YA LEO [28-02-2017]

1. Hekima ya kweli hudhihirika katika kazi na matokeo yanayoonekana maishani mwa mtu. Hekima si ujuaji tu bali utendaji pia. 2. Hekima huambatana na kufikiri namna ya kubadilisha maarifa unayoyapata kuwa bidhaa inayoonekana. Kila maarifa sahihi yana uwezo wa kufanyika

Tagged with: ,
Posted in Mafunzo

HEKIMA YA LEO [27-02-2017]

1. Unapojenga chochote cha maana katika maisha, usijenge kwa mtazamo wa amani bali vita, usijenge kwa mtazamo wa utulivu bali ghasia. 2. Unapojenga, kumbuka kwamba kuna wakati mvua itakuja, mafuriko yatakuja, tetemeko litapita, ghasia zitazuka na fujo zitatokea. 3. Kwa

Tagged with: , , ,
Posted in Mafunzo

HEKIMA YA LEO [26-02-2017]

1. Wapuuziaji – huacha mambo yatokee yenyewe. Ni wavivu, walalamikaji na wasiopenda kuwajibika. Watu hawa huwa wahanga wa matukio. 2. Wakawaida – hujitahidi kutumia jitihada zao, ujanja wao na akili zao kifanikiwa au kufanikisha mambo. Wanaweza kufanikiwa, ila huwekewa mipaka

Tagged with: , , , ,
Posted in Mafunzo
yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,212 other followers

Upcoming Events

No upcoming events