Blog Archives

HEKIMA YA LEO [23-04-2017]

MAISHA NI SHULE Kujifunza ni wajibu Binafsi – Hata shule iwe nzuri vipi, au mwalimu awe mtaalamu kivipi, mwanafunze asiyeweka bidii kujifunza atakuwa kilaza tu.  – Kujifunza ni kazi inayoiumiza akili, inahitaji mtu mwenye bidii na uwajibikaji binafsi kujifunza bila

Tagged with: , , ,
Posted in Mafunzo

HEKIMA YA LEO [04/04/2017]

ILI KUWEKEZA VIZURI MAISHA YAKO (2) 2. Thamini Maisha Ili uwekeze vizuri maisha yako,  ni lazima uyathamini. Hazina yoyote inapaswa kuthaminiwa na kuheshimiwa. Uhai wako ni wa thamani sana, ni wewe tu uliyenao. Hakuna mtu mwingine anayeweza kuwa wewe isipokuwa

Tagged with: , , ,
Posted in Mafunzo

HEKIMA YA LEO [14-02-2017]

1. Kila kilichomo duniani, ikiwemo na dunia yenyewe,  kina mwanzo na mwisho. Maisha yetu yana mpaka, kuna wakati yatakoma. 2. Haijalishi utaishi miaka mingi kiasi gani, bado utafikia mwisho tu, na utahitaji kutoa hesabu ya namna ulivyotumia muda na nafasi

Tagged with: , , , ,
Posted in Mafunzo

HEKIMA YA LEO [04-02-2017]

1. Mimi ni nani? Swali la utambulisho. Usipojua utambulisho wako, utaishi maisha yasiyo yako.  2. Nimetokea wapi? Swali la chanzo. Usipojua chanzo chako, hutajua asili yako na urithi wako. 3. Kwa nini nipo duniani? Swali la kusudi. Usipojua kusudi lako

Tagged with: , , , ,
Posted in Mafunzo

Mafanikio yanapangwa

Maandiko yanasema, BAHATI (FURSA) NA WAKATI (MUDA SAHIHI ULIOBEBA FURSA) HUWAPATA WATU WOTE (WATU WOTE WANAVYO KWENYE MZUNGUKO WA MAISHA YAO)… Lakini ni wale tu WALIOJIANDAA NA KUWEKA MIPANGO NA MIKAKATI INAYOELEWEKA NDIO WATAKUWA NA MATOKEO YA UHAKIKA KULIKO WANAOSUBIRIA

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo

Kansa

Ukija kufa na KANSA kisa tu kukataa KUTII NENO LA BWANA YESU kuwa “tusamehe wanaotukosea kama ambavyo tunataka Mungu atusamehe…” (Mathayo 6:13-14).

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo

KUHUSU MAISHA NA MUDA

“Ukitaka kujua mtu atafika mbali kimaisha au ni wa hapahapa; Angalia anavyotumia siku yake moja. Maisha ni siku moja moja nyingi alizoishi mtu”

Tagged with: , , ,
Posted in Mafunzo

Kila MLOKOLE MJINGA

“Shetani hatumii makombora na mabomu makubwa kumshambulia ili amshinde. Bali anachukua tu KIBOKO CHA UJINGA anamcharaza kisawasawa hadi BABA WA MBINGUNI ANALIA HUKU AKISEMA: WATU WANGU WANAANGAMIZWA KWA KUKOSA MAARIFA… KWA SABABU LIMEKATAA MAARIFA SASA MIMI NILISAIDIEJE? NIMELIKATAA LISIWE LANGU

Tagged with: , , , , ,
Posted in Mafunzo

Maisha si Mafupi

“Maisha ni mafupi kwa wenye akili fupi; wanaoona kwenye pua zao tu. Hawa wanafanya vitu kwa ajili yao na watapata nini. Hawafikirii kugusa maisha ya wengine. Hawa wana maisha mafupi. Kwa sisi tunaoishi kwa ajili ya kuugusa moyo wa Mungu,

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo

MAISHA NI MUDA

“Usicheze na muda. Usiahirisheahirishe mambo. Tumia siku yako moja kwa hekima kubwa sana. Usipoteze muda. Siku ikipita, HAUTAIONA MILELE MAISHANI MWAKO. Kila siku ina MKATE WA SIKU (kwenye kila eneo la maisha yako: kiroho, kiuchumi, kiafya, mahusiano nakadhalika) toka Kwa

Tagged with: ,
Posted in Mafunzo
yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,212 other followers

Upcoming Events

No upcoming events