Blog Archives

MFUNGO WA SIKU 40, (MASAA 12 KUTWA)[SIKU YA 10]

UJUMBE MKUU: ROHO MTAKATIFU NA WEWE SIKU YA KUMI: ROHO MTAKATIFU NA UBORA WA MAOMBI YAKO. “Kadhalika ROHO naye hutusaidia udhaifu wetu, kwa maana HATUJUI KUOMBA ITUPASAVYO, lakini ROHO MWENYEWE HUTUOMBEA kwa kuugua kusikoweza kutamkwa. Na yeye aichunguzaye mioyo aijua

Tagged with: ,
Posted in Mafunzo

MALAIKA NA MAOMBI

  KILA UNAPOAMUA KUOMBA MAOMBI YA MUDA MREFU (KUANZIA WALAU NUSU SAA NA KUENDELEA), MALAIKA HUWA WANAKUJA PALE ULIPO/ UNAPOOMBEA! Kila Ukifanya Uamuzi Wa Kuomba, Hauwi Peke Yako, Mungu Hutuma MALAIKA; Haijalishi Unawaona Au Huwaoni, Lakini SHETANI NA JESHI LAKE

Tagged with: ,
Posted in Mafunzo

MAMBO YA LAZIMA KUFANYA

KAMA UNATAKA DUNIA ITAMBUE UWEPO WAKO KABLA HUJAONDOKA DUNIANI. 1. Lazima uwe na muda wa kuongea na Mungu kupitia maombi, walau mara tatu kwa siku. Zaweza kuwa dakika 30 asubuhi (Ayubu 38:12-13), kuiweka sawa siku yako na kuyageuza mashauri ya

Tagged with: , , ,
Posted in Mafunzo

POKEA MAJIBU YAKO

Wakristo wengi ni wepesi wa kwenda mbele za Mungu kupeleka Maombi, Dua na Sala zao kwa BWANA, ila si wepesi wa kupokea toka kwa Mungu. Wanaamini Mungu anayakubali na kuyapokea maombi yao, sala na dua ila hawana UHAKIKA KAMA MUNGU

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo

SIKU 30 ZA MIUJIZA NA MAAJABU. (SIKU 30 ZA MFUNGO)[Day 30]

03/02/2016. “KIWANGO HALISI CHA MUNGU ANACHOTAKA UISHI (THE REAL LIFE GOD DESIRES FOR YOU)” NENO KUU: ** MATHAYO 6:25-30. 25 Kwa sababu hiyo nawaambieni, Msisumbukie maisha yenu, mle nini au mnywe nini; wala miili yenu, mvae nini. Maisha je! Si

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo

SIKU 30 ZA MIUJIZA NA MAAJABU. (SIKU 30 ZA MFUNGO). [DAY29]

02/02/2016. “HEKIMA YA KIMUNGU (DIVINE WISDOM)” Hakuna mtu asiyetaka kuishi kwa urahisi hapa duniani. Naamini kila mtu akipata dawa ya kula kwa jasho atamtukuza Mungu. Na dawa hiyo ni HEKIMA YA KIUNGU. Naomba usome hili somo kwa makini na umsihi

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo

SIKU 30 ZA MIUJIZA NA MAAJABU. (SIKU 30 ZA MFUNGO). [Day 28]

01/02/2016. “SABABU KUMI NA MBILI ZA KIBIBLIA KWANINI USIWE MASIKINI (TWELVE BIBLICAL FACTS WHY YOU ARE SUPPOSED NOT TO BE POOR AT ALL)” 1. Umebeba sura na mfano wa Mungu ambaye ni tajiri (Zaburi 24:1, Hagai 2:8), aliyefanikiwa katika kila

Tagged with: , , , , ,
Posted in Mafunzo

SIKU 30 ZA MIUJIZA NA MAAJABU. (SIKU 30 ZA MFUNGO). [Day26]

  30/01/2016. “BARAKA YA BWANA (THE BLESSING OF THE LORD)” Nimekuwa nikisikia watu wakisema “Wahubiri wa kizazi hiki wanawahubiria watu baraka baraka baraka tuuuuu” …. Hii sentensi binafsi inanikera sana sana sana! Watu kuhubiriwa au kufundishwa kuhusu baraka ni mpango

Tagged with: , , ,
Posted in Mafunzo

SIKU 30 ZA MIUJIZA NA MAAJABU. (SIKU 30 ZA MFUNGO).[Day 25]

29/01/2016. “MKRISTO NI MTU WA KIWANGO CHA DUNIA (A CHRISTIAN IS A GLOBAL PERSONALITY)” 1. WATOTO WA MUUMBA NA MMILKI WA DUNIA NA ULIMWENGU. “Nchi na vyote viijazavyo ni mali ya Bwana; DUNIA NA WOTE WAKAAO NDANI YAKE” (Zaburi 24:1).

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo

SIKU 30 ZA MAAJABU NA MIUJIZA. (SIKU 30 ZA MFUNGO)[Day 23 ].

27/01/2016. “NGUVU YA SHUHUDA (THE POWER OF TESTIMONS)” “Nao wakamshinda kwa damu ya Mwanakondoo, na kwa NENO LA USHUHUDA WAO…” (Ufunuo 12:11). Watu wengi hawajui ni kwanini shuhuda ni za muhimu katika maisha ya imani. Na hawajui pia namna ya

Tagged with: , , ,
Posted in Mafunzo
yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,212 other followers

Upcoming Events

No upcoming events