Blog Archives

NGUVU YA MAONO KATIKA KUAMUA KIWANGO CHA HATMA YAKO.

Utangulizi Mungu alipoumba mwanadamu, hakumuumba kama viumbe wengine. Alimuumba mwanadamu kwa “sura yake” na kwa “mfano wake”. Mungu hakumuumba “mwanaume” akiwa bora kuliko mwanamke! Mungu aliwaumba mwanamke na mwanaume siku moja, na wote aliwaumba “roho zao” kwa sura na mfano

Tagged with: , , , , ,
Posted in Mafunzo

Si Kila mwenye Macho

“Si kila mwenye macho ANAONA, wengi wanaishia KUTAZAMA. MAONO ni matokeo ya KUONA KWA MOYO ila MITAZAMO ni matokeo ya KUTAZAMA KWA MACHO. Maisha hayaheshimu MITAZAMO (utazamacho kwa macho), maisha yanaheshimu MAONO (uonacho kwa moyo); Mitazamo ni matokeo ya KILICHOKO

Tagged with: , , , ,
Posted in Mafunzo

Shetani hupingana na watu wenye Maono/Ndoto Kubwa

“Shetani HAJAWAHI KUJIHANGAISHA NA WATU AMBAO WANA DESTINY MBOVU AU NDOGO. Shetani anapambana na watu ambao KESHO YAO NI KUBWA SANA. Shetani anapambana sana na watu ambao UWEPO WAO DUNIANI UTALETA SULUHU KWA DUNIA YAO. Ukiona unapata upinzani na vita

Tagged with: , , , , ,
Posted in Mafunzo

Mipaka

“Ukiona mtumishi wa Mungu anamsema mtumishi mwingine wa Mungu, kuna mawili; Moja hajui mipaka ya maono aliyopewa ndio maana anapata muda wa kuongelea wengine ambao hata hawana muda naye na pengine hawamjui… Pili, huenda ni wivu tu, huyo jamaa anayemsema

Tagged with: , , ,
Posted in Mafunzo

PATA PICHA

“Kama Mungu hamzuii MZINZI, MUUAJI, MCHAWI na waovu kutimiza MAWAZO MABAYA YALIYOMO MIOYONI MWAO ataanzaje kukuzuia USITIMIZE MAWAZO NA NDOTO NJEMA ULIZONAZO NDANI? Acha kumsingizia Mungu; KAMA UNALIONA JAMBO JEMA NDANI YAKO limewekwa na Mungu humo, LIFANYIE KAZI LIONEKANE NJE…

Tagged with: , , ,
Posted in Mafunzo

Ukiwa Na Maono [Vision]

Lazima Utakuwa Selective [Mchagua chaguaji]… Si Kila Mtu Au Kila Kitu Utakikubali Na Kukipokea, Si Kila Jambo Utafanya… Kama MAMA MJAMZITO Anavyochaguachagua Vyakula Na Vitu Ndivyo Alivyo MBEBA MAONO, Hawezi Kupokea Au Kukubaliana Na Kila Kitu… MBEBA MAONO NI MJAMZITO

Tagged with: ,
Posted in Mafunzo

Kipofu

Kipofu Mwenye Maono [Anayeona Wapi Anataka Kuwa Na Anajua Namna Ya Kufika Hapo] Atamtawala Mwenye Macho Asiye Na Maono [Asiyejua Anataka Kwenda Wapi Na Namna Ya Kufika Huko]. Upofu Wa Macho Ni Ulemavu Ila Upofu Wa Maono Ni Mauti. Salamu

Tagged with: ,
Posted in Mafunzo

MAOMBI NA USHAURI KWA WENYE “MAWAZO, MIPANGO, NDOTO NA MAONO

Nitakuwa Na Maombi Maalumu Kwa Ajili Ya Wale Wenye Mawazo, Mipango, Ndoto Na Maono Ya Kutimiza Mambo Fulani Ndani Ya Mwaka Huu 2014. Ni Maombi Kwa Ajili Ya Wale Wenye WAZO LOLOTE AU MPANGO WOWOTE WA KIMAENDELEO Na Kwa Wale

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo, sala

Mambo Manne Muhimu sana

MAMBO MANNE YA MUHIMU SANA YATAKAYOKUFANYA UWEZE KUTIMIZA NDOTO, MAONO AU JAMBO LOLOTE KWENYE MAISHA! Kama Unataka Kufanya Chochote Kwenye Maisha Kiwe KIKUBWA AU KIDOGO Lazima Uzitumie Hatua Hizi Nne, Na Lazima Utapitia Hatua Hizi Nne. Yaani Hizi Hatua Nne Ni

Tagged with: , , , ,
Posted in Mafunzo
yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,212 other followers

Upcoming Events

No upcoming events