Blog Archives

Wewe Msomi

“Huyo unayetaka akuajiri wewe msomi, hata yeye hakuanza na hiyo kampuni kubwa, alianza na WAZO MOYONI AU KICHWANI. Sasa usiniambie unasoma ili uajiriwe na kupata mshahara mzuri. Hilo ni wazo la kimasikini linalofanya Tanzania ionekane masikini. Tukiweza kufuta mawazo ya

Tagged with: , , ,
Posted in Mafunzo

SIKU 30 ZA MIUJIZA NA MAAJABU. (SIKU 30 ZA MFUNGO). [Day 28]

01/02/2016. “SABABU KUMI NA MBILI ZA KIBIBLIA KWANINI USIWE MASIKINI (TWELVE BIBLICAL FACTS WHY YOU ARE SUPPOSED NOT TO BE POOR AT ALL)” 1. Umebeba sura na mfano wa Mungu ambaye ni tajiri (Zaburi 24:1, Hagai 2:8), aliyefanikiwa katika kila

Tagged with: , , , , ,
Posted in Mafunzo

Kuushinda Usingizi

“Kama unalala jumla ya masaa 8 au zaidi kwa siku… Yaani usiku labda masaa kadhaa, mchana nakadhalika, HAKIKA utakuwa masikini au utakuwa na maisha ya wastani (masikini mwenye unafuu)… Kama unataka kuwa tajiri maishani cha kwanza si PESA bali kuushinda

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo

Umaskii wa Akili

Umasikini Wa Akili Ni Mbaya Kuliko Umasikini Wa Kifikira… Ni Bora Ukose Pesa Upate Akili Na Maarifa Sahihi Yanayoweza Kugeuka Pesa. Biblia Inasema, “BORA KUFA MACHO KULIKO KUFA MOYO” Maana Moyoni Ndiko Zitokako Chemchemi Za UZIMA [Fountains Of Life]… Mithali

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo

Mwenye Hekima

Mwenye Hekima Masikini Ni Yule Aliyekazana Kutumia Hekima Yake Kuwasaidia Wengine Kabla Ya Kuitumia Kumnasua Yeye Kwanza. Mwenye Hekima Anayetumia Kipawa Na Hekima Yake Ili Kuwafurahisha Watu Na Kupata Sifa Zao, HAIKOSI ATAKUWA MASIKINI…. Na Hekima Ya Masikini Haipokelewi. Salamu

Tagged with: ,
Posted in Mafunzo

NIMEMKASIRIKIA SHETANI NA UONGO WAKE [A MUST READ]!!

Unatarajiaje Mimi Nikufundishe Wewe KANUNI ZA KIROHO ZA MAFANIKIO YA KIFEDHA NA KIUCHUMI Halafu Mimi Niwe Masikini??? Maana Huu Ndio Mtazamo Wa Watu Wa Kazazi Hiki Kiovu…. Hawataki WATUMISHI WA MADHABAHUNI WAWE NA MAISHA YA JUU Ilhali Wakitaka WATUMISHI HAOHAO

Tagged with: , , , ,
Posted in Mafunzo

Kwanini siwezi kua Masikini???? [PART1]!

Lengo La Kuandika Ujumbe Huu Si Kujisifia Bali Kukusaidia Ujifunze KANUNI HII YA AJABU Ambayo Mungu Alinifundisha Ambayo Baada Ya Kuielewa Imenipa UHAKIKA WA KUTOKUWA MASIKINI MAISHANI… Ukipotezwa Na Kichwa Hapo Juu, Umekosa Siri Za Kukukwamua Kwenye HALI YAKO YA

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo

Umaskini hama utajiri ni hiali yako

Yesu aliwahi kuwaambia WANAFUNZI WAKE, “MASIKINI mnao siku zote…” Hakuwahi hata mara moja kusema WANAFUNZI WAKE ni MASIKINI wala YEYE MWENYEWE…Alis ema MASIKINI MNAO SIKU ZOTE…Kama wewe ni mwanafunzi wa Yesu Kristo, mwana wa Mungu na mrithi wa ahadi za

Tagged with: , , ,
Posted in Mafunzo
yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,212 other followers

Upcoming Events

No upcoming events