Blog Archives

MFUNGO WA SIKU 40, (MASAA 12 KUTWA)[SIKU YA 9]

UJUMBE MKUU: ROHO MTAKATIFU NA WEWE. SIKU YA TISA: ROHO MTAKATIFU NA AKILI YA KIUNGU. “Lakini imo roho ndani ya mwanadamu, NA PUMZI ZA MWENYEZI HUWAPA AKILI” (Ayubu 32:8). “BWANA akanena na Musa na kumwambia, angalia nimemwita kwa jina lake

Tagged with: , , ,
Posted in Mafunzo

MFUNGO WA SIKU 40, (MASAA 12 KUTWA)[SIKU YA 8]

UJUMBE MKUU: ROHO MTAKATIFU NA WEWE. SIKU YA NANE: ROHO MTAKATIFU NA UHAKIKA WA WOKOVU WAKO. “Nanyi pia katika huyo mmekwisha kulisikia Neno la kweli, habari njema za wokovu wenu; tena mmekwisha kumwamini yeye, NA KUTIWA MUHURI NA ROHO YULE

Tagged with: , , ,
Posted in Mafunzo

MFUNGO WA SIKU 40, (MASAA 12 KUTWA)[SIKU YA 6]

  UJUMBE MKUU: ROHO MTAKATIFU NA WEWE SIKU YA SITA: ROHO MTAKATIFU NA SIRI ZA KUKUFANYA UWE MTU WA AJABU DUNIANI. “Lakini, kama ilivyoandikwa, MAMBO AMBAYO MACHO HAYAKUONA, MASIKIO HAYAKUSIKIA, WALA HAYAKUINGIA MIOYONI MWA MTU AWAYE YOTE, MAMBO AMBAYO MUNGU

Tagged with: , , , ,
Posted in Mafunzo

MFUNGO WA SIKU 40, (MASAA 12 KUTWA)[SIKU YA 5]

ABC KAHAMA & DETRIM, MWALIMU DICKSON CORNEL KABIGUMILA NA MARAFIKI. UJUMBE MKUU: ROHO MTAKATIFU NA WEWE. SIKU YA TANO: ROHO MTAKATIFU KIONGOZI WAKO. “Lakini yeye atakapokuja, HUYO ROHO WA KWELI, ATAWAONGOZA NA KUWATIA KATIKA KWELI YOTE….” (Yohana 16:13). “Kwa maana

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo

MFUNGO WA SIKU 40, (MASAA 12 KUTWA)[SIKU YA 4]

WA ABC KAHAMA & DETRIM, WA MWALIMU DICKSON CORNEL KABIGUMILA NA MARAFIKI. UJUMBE MKUU: ROHO MTAKATIFU NA WEWE SIKU YA NNE: ROHO MTAKATIFU ANAWEZA KUKUSIMAMISHA TENA. “Naye aliposema nami, ROHO IKANIINGIA, IKANISIMAMISHA; Nikamsikia Yeye aliyesema nami.” (Ezekieli 2:2). “Ndipo ROHO

Tagged with: , , ,
Posted in Mafunzo

MFUNGO WA SIKU 40, (Masaa 12 kutwa nzima),(Day 3)

ABC KAHAMA & DETRIM, Pamoja na Mwalimu Dickson Cornel Kabigumila, UJUMBE MKUU: ROHO MTAKATIFU NA WEWE SIKU YA TATU: ROHO MTAKATIFU NA AFYA YAKO. “Lakini, ikiwa ROHO YAKE YEYE ALIYEMFUFUA YESU KATIKA WAFU anakaa ndani yenu, Yeye aliyemfufua Kristo Yesu

Tagged with: , , ,
Posted in Mafunzo

MFUNGO WA SIKU 40 (Masaa 12), (Day 2)

ROHO MTAKATIFU NA WEWE, Tunaomba kuishi katika uhalisia wa Tunda la Roho mbali na MATENDO YA MWILI kwa NGUVU ZA ROHO MTAKATIFU (Wagalatia 5:16-23). 1. Omba uwezesho wa Kiungu wa kuishi nje na mbali ya matendo yote ya mwili maishani

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo

SIKU 30 ZA MIUJIZA NA MAAJABU. (SIKU 30 ZA MFUNGO)[Day 30]

03/02/2016. “KIWANGO HALISI CHA MUNGU ANACHOTAKA UISHI (THE REAL LIFE GOD DESIRES FOR YOU)” NENO KUU: ** MATHAYO 6:25-30. 25 Kwa sababu hiyo nawaambieni, Msisumbukie maisha yenu, mle nini au mnywe nini; wala miili yenu, mvae nini. Maisha je! Si

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo

SIKU 30 ZA MIUJIZA NA MAAJABU. (SIKU 30 ZA MFUNGO). [DAY29]

02/02/2016. “HEKIMA YA KIMUNGU (DIVINE WISDOM)” Hakuna mtu asiyetaka kuishi kwa urahisi hapa duniani. Naamini kila mtu akipata dawa ya kula kwa jasho atamtukuza Mungu. Na dawa hiyo ni HEKIMA YA KIUNGU. Naomba usome hili somo kwa makini na umsihi

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo

SIKU 30 ZA MIUJIZA NA MAAJABU. (SIKU 30 ZA MFUNGO). [Day 28]

01/02/2016. “SABABU KUMI NA MBILI ZA KIBIBLIA KWANINI USIWE MASIKINI (TWELVE BIBLICAL FACTS WHY YOU ARE SUPPOSED NOT TO BE POOR AT ALL)” 1. Umebeba sura na mfano wa Mungu ambaye ni tajiri (Zaburi 24:1, Hagai 2:8), aliyefanikiwa katika kila

Tagged with: , , , , ,
Posted in Mafunzo
yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,212 other followers

Upcoming Events

No upcoming events