Blog Archives

MKRISTO

“Watu hawana haja ya kuambiwa kuhusu YESU wasiyemuona kwako. Watu wanataka WAMUONE YESU anayeongea, anayetembea na kufanya vitu kupitia wewe. Wasipomuona kwako, hawatakusikiliza ukimsoma kwenye maandiko” (Matendo 1:8). ‪#‎Shahidi‬ lazima awe na ‪#‎Ushahidi‬ *Wanamtaka YESU ULIYENAYE si unayemsoma kwenye Biblia*

Tagged with: , , , ,
Posted in Mafunzo

Najivunia kuwa mkiristo

Ukiwa Mmarekani, Serikali Ya Marekani Itafanya Chochote Kukulinda Ama Kuhakikisha Usalama Wako… Ikitokea Adui Akamgusa Mmarekani Au Kumdhuru, Serikali Ya Marekani Huwa Hailichukulii Kwa Urahisi Jambo Kama Hilo… Sipati Picha Ukiwa Mkristo, Raia Wa Serikali Ya Mbinguni; Mungu, Rais Wa

Tagged with: , , ,
Posted in Mafunzo

Sipendi Kuona Mkristo akikosa Kiwango

Kati Ya Mambo Ambayo Sipendi Kuona Kwenye Maisha Ya Mkristo Wa Kweli Ni Kukosa KIWANGO (STANDARD) Anayotakiwa Kuwa Nayo Kwenye Maisha Yake Na Maeneo Yote Ya Utu Wake. Wakristo Wengi Wana Tabia Ya KUJIPIMA NA KUJILINGANISHA NA WANADAMU WENZAO, Badala

Tagged with: ,
Posted in Mafunzo

Chakula Cha Kila Mkristo

>> HASA WEWE UNAYEPENDA KUTOA MISAADA KWA MASIKINI NA WASIOJIWEZA (MUHIMU).     Mithali 19:17 “AMHURUMIAYE MASIKINI HUMKOPESHA BWANA; NAYE ATAMLIPA KWA TENDO LAKE JEMA” Hivi Unakuwa Na Maana Gani Unapopita Kwa OMBAOMBA Ukampa Shilingi 100 au 200? Ile Kweli

Tagged with: ,
Posted in Mafunzo

Kuwa Tu MKRISTO, Tayari Umelamba Dume

… Maana Jicho La Mungu Halikuangalii Kwa Namna Ya Vile Ulivyo Sasa Au Kile Ulichonacho Sasa Bali Kwa Vile Ambavyo Mungu Atakupatia Na Kukurithisha Kwa Vile Tu “U MRITHI URITHIYE VYA MUNGU PAMOJA NA KRISTO” (Warumi 8:17). Usitege Masikio Kwa

Tagged with:
Posted in Mafunzo

HAKUNA UKRISTO BILA NGUVU YA MUNGU

Hauwezi Kumtenganisha Mkristo Na Nguvu Ya Mungu, Ni Sawa Na Samaki Na Maji, Sawa Na Mizizi Na Ardhi, Ama Pumzi Na Mtu! “Bali Wo te Waliompokea Aliwapa Uwezo [Nguvu] Ya Kufanyika Wana Wa Mungu, Ndio Wale Waliaminio Jina Lake” (Yohana

Tagged with: ,
Posted in Mafunzo

Mkristo wa kweli

Wakati Mwafaka Wa Kumjua Mkristo Wa Kweli Ni Pale Anapokuwa Anapitia Changamoto Au Magumu Maishani Mwake… Kauli/ Maneno Anayosema Kuhusu Mungu Wake Na Pia Kuhusu Changamoto Yake Ni Ushahidi Wa Wazi Wa Nini Anajua Kuhusu Mungu Wake na Imani Yake

Tagged with:
Posted in Mafunzo
yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,212 other followers

Upcoming Events

No upcoming events