Blog Archives

DAR ES SALAAM (MSAADA UMEKUJIA)!

Kama uko Dar, au una ndugu au rafiki au jamaa aliyeko Dar ANAYEHITAJI MSAADA WA KIROHO kama vile; 1. Anataka kuokoka (Warumi 10:9-10, Mathayo 1:21). 2. Anateswa na nguvu za giza na anataka kuwa huru (hata kama ameombewa weeee bila

Tagged with: , , , , ,
Posted in Mafunzo

Tafuta msaada uwe huru

Ukishatoka tu kwenye “mwili wako” damu ya Yesu haina tena nguvu ya kukutakasa! Ukishafariki na kuuacha mwili wako, haijalishi utalia na kumbembeleza Mungu kiasi gani, KAMA HAUKUWA MTAKATIFU, UMEPOTEA MILELE! Wale ambao WANAISHI NA KUPUMUA BADO hao ndio wanaweza KUITUMIA

Tagged with: , , , , , ,
Posted in Mafunzo

Ziko Hila ,Mwamini Mungu

MWAMINI MUNGU>>>Inawezekana unapitia changamoto au nyakati ngumu sana muda huu,na unaona hakuna msaada…Ukweli ni kwamba Mungu anajua hilo na anakutazama, hajakuacha wala kukusahau…Acha Kulia, Machozi hayawezi kukuletea Wokovu.Mungu anasubiri IMANI yako   ZIKO HILA>>> Ziko hila [mipango] nyingi moyoni mwa

Tagged with: , , , , ,
Posted in Mafunzo
yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,215 other followers

Error: Twitter did not respond. Please wait a few minutes and refresh this page.

Upcoming Events

No upcoming events