Blog Archives

FAHAMU UWEZA NA NGUVU YA KUSHUKURU

Je Ulikuwa Unajua Kuwa Kushukuru Ni Hatua Ya Kwanza Na Ya Muhimu Kuelekea Kupokea Muujiza Wako Na Majibu Yako Toka Kwa Mungu? Huu Ndo Ukweli Tunaoupata Kwenye Neno La Mungu; Kushukuru Kabla Ya Kukiona Kile Ukitarajiacho Kwa Mungu Ni Ishara

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo

HEKIMA YA LEO [05-04-2017]

ILI KUWEKEZA VIZURI MAISHA YAKO (3) 3. Mtangulize Mungu • Mungu ndiye chanzo cha uhai wako na sababu ya kuishi kwako. Bila Mungu usingekuwa hai leo. •   Ile kwamba upo hai ni kielelezo kwamba Mungu ametaka uwe hai katika dunia

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo

Wewe ni Zaidi

“Ubongo wako ni MKUBWA MNO kuamua kuishi kwa ELIMU NDOGO YA DARASANI… Hata kama ni Profesa au Una Phd HAKO KA ELIMU NI KADOGO MNO… Hakalingani na UKUBWA NA UHALISIA WA MAMBO MAKUBWA AMBAYO MUNGU AMEKUUMBA KUFANYA… Waliofeli madarasani NINYI

Tagged with: , , ,
Posted in Mafunzo

HEKIMA YA LEO [08-02-2017]

1. Imani isiyo na msingi ni imani isiyo na matokeo mema..Wengi huamini vitu vingi, lakini hawajawahi kuuliza msingi wa wanachoamini ni nini?  2. Kuna wanaoamini kitu kwa sababu ni maarufu au kwa sababu kila mtu anaamini hivyo, bado huo si

Tagged with: , , ,
Posted in Mafunzo

HEKIMA YA LEO [05-02-2017]

1. Chanzo chako ni Mungu, huwezi kujitambua nje ya chanzo chako, yaani nje ya Mungu. Unapojiunganisha zaidi na chanzo chako, ndipo unaishi kwa ufanisi zaidi. 2. Umeumbwa kwa mfano wa Mungu. Ili ujijue zaidi ni lazima umjue Mungu. Kadiri Unavyomjua

Tagged with: , , , ,
Posted in Mafunzo

JIFUNZE VITU VYA MUHIMU 

Siku Nikikukuta Unamwinua Shetani Na Kumtukuza Kwa Kauli Zako Nitachukua Kiboko Nikuchape Kabisa… Zile Kauli Za Kusema Shetani Ni Hatari Sana, Ana Nguvu Sana… Shetani Anashindana Na Yesu Na Nyingine Za Aina Hii Ni Za Watoto Wachanga! Shetani Ni Malaika

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo

Jaribu

​”Kila jaribu linalotupata ni KAWAIDA KWA WANADAMU na tayari lina MLANGO WA KUTOKEA, Usichanganyikiwe. Kama Mungu kasema ni la KAWAIDA (common) mimi naanzaje kulipa UPEKEE? KILA JARIBU MAISHANI MWANGU LIMEKUJA NILIUE NA SI LINIUE…SIKO PEKE YANGU, KATIKA MAMBO YOOOOOOOTE NINASHINDA

Tagged with: , , , ,
Posted in Mafunzo

Sijawai Ona

​ “Sijawahi kumuona mtu aliyeuzamisha moyo wake jumla kwa Mungu kupitia SIFA NA KUABUDU, MADHABAHU YA MAOMBI, UTOAJI,  MADHABAHU YA NENO na MAARIFA YA KINA TOKA KWA WALIOTANGULIA WANAOFANYA VITU KWA UBORA ambaye bado anawaza wapi atapata pesa, nini atakula,

Tagged with: , , , , ,
Posted in Mafunzo

Ukifa Leo

“Hivi ikitokea UKAFA LEO watu watakaobaki duniani WATAKUKUMBUKA KWA LIPI? Kazi zako zitaendelea kuishi au UTAZIKWA NA KILA ULICHOBEBA NDANI YAKO? Huwa nawaambia watu, SIOGOPI KUFA NA SIFI KIRAHISI NA KAMA KUKU… UHAI WANGU UMEFICHWA PAMOJA NA UHAI WA KRISTO

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo

UKUU

“Kila mmoja wetu ameumbwa kuwa mtu mkuu endapo atagundua na kukifanyia kazi kile alichonacho peke yake dunia nzima, alichoumbwa na Mungu kuja kuipa dunia yake”   “Ukubwa na umuhimu wa kile ambacho Mungu amekupa ufanye jumlisha uaminifu na ubora wako

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo
yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,212 other followers

Upcoming Events

No upcoming events