Blog Archives

NGUVU YA MAONO KATIKA KUAMUA KIWANGO CHA HATMA YAKO.

Utangulizi Mungu alipoumba mwanadamu, hakumuumba kama viumbe wengine. Alimuumba mwanadamu kwa “sura yake” na kwa “mfano wake”. Mungu hakumuumba “mwanaume” akiwa bora kuliko mwanamke! Mungu aliwaumba mwanamke na mwanaume siku moja, na wote aliwaumba “roho zao” kwa sura na mfano

Tagged with: , , , , ,
Posted in Mafunzo

Ukiona MWANAUME ANAMPIGA MKE WAKE

.. Ujue umekutana NA MPUMBAVU aliyeingia kwenye ndoa akiwa hajui MAANA, MAJUKUMU, HESHIMA, UTAKATIFU NA UTHAMANI WA NDOA… Ni LIPUMBAVU LIMOJA HIVI na LILIKURUPUKA KUOA KABLA YA KUKAA CHINI KUJIFUNZA KWENYE BIBLIA NA KWA WENGINE WALIO NDANI YA NDOA ZAO…

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo, ndoa

Vijana

Nilidhani VIJANA WA KIUME ndio wanang’ang’aniza wadada KUFANYA NAO UCHAFU WA UASHERATI kabla ya ndoa. Kumbe wako hadi WADADA ambao wanataka KUPIMA UANAUME WA MTU KWA UUME WAKE?? Kweli dunia imevaa WIGI. Vijana wa kike na wa kiume mliookoka, MSICHEZEE

Tagged with: , , , ,
Posted in Mafunzo

Vitu alivyonavyo Mwanamke

“Kama hujajua VITU ALIVYONAVYO MWANAMKE ambavyo HUNA na ukajua utavipata kwa MWANAMKE TU; Usihangaike KUOA. Kama unaona umejitosheleza peke yako na huoni ULAZIMA NA UMUHIMU WA MWANAMKE, USIOE MAANA UTAMUUMIZA MTOTO WA WATU” (Mwl D.C.K)

Tagged with: , , ,
Posted in Mafunzo

Mwanamke si Dhaifu

“Mwanamke si dhaifu, mwanamke si mnyonge, mwanamke ni mtu mkuu. Mwanamke hana kitu alichopungukiwa kuwa bora kama au hata zaidi ya mwanaume. Wote, mwanaume na mwanamke waliumbwa siku moja na kwa namna moja na kwa pumzi moja ya Mungu. Wote

Tagged with: ,
Posted in Mafunzo

KWA WANAOTARAJIA KUOLEWA

“Tunaposema Mdada Ujiandae KWA MAJIRA NA NYAKATI YA KUWA MKE Hatumaanishi Utumie MWILI WAKO Kununua NDOA… Hatumaanishi UOGEE KWENYE MBALAMWEZI ILI KUMVUTIA DAUDI ALIYESAHAU MAJUKUMU YAKE YA KWENDA VITANI [Siku Zote Mwanaume Pekee Anayeweza Kunaswa Kwa Kumpa Mwili Wako Ni

Tagged with: , , ,
Posted in Mafunzo, ndoa

KWA WENYE MPANGO WA KUOLEWA

“Hivi Mnajua Kwamba UA Halina AKILI WALA UFAHAMU Kama Ulionao Binti? Lakini Mbali Ya Hayo, KILA UA Lina Akili Ya ZIADA [Alilolipa Mungu] Kiasi Kwamba LINAJUA NA KUTAMBUA ‘NYAKATI NA MAJIRA’ Ya KUCHANUA Na ‘KUVUTIA NYUKI’ Na Hata Siku Moja

Tagged with: , , , , ,
Posted in Mafunzo, ndoa

KWA WAOLEWAJI TU

“Kama Unajua Umeumbwa Kuolewa Na MFALME DAUDI Usifanye KOSA La Kuolewa Na HURIA MHITI Eti Kwa Vile NDIYE ALIYEONESHA NIA… Hatuolewi Na Aliyeonesha Nia Bali ANAYESTAHILI Kuwa Mme Sahihi Wa Maisha… Usisubiri Uolewe Na HURIA Kisha Ndipo Ufanye Bidii KUOGA

Tagged with: , , ,
Posted in Mafunzo, ndoa

mwanamke:Hekima ya Mungu ni Mtaji mzuri kuliko pesa

“…Kwa Maana BWANA Ameumba Jambo Jipya Duniani; MWANAMKE ATAMLINDA MWANAUME” (Yeremia 31:22). Mmeo Akichukuliwa Na Kimada/ Nyumba Ndogo Lazima TUTAKUSHIKILIA “UISAIDIE SERIKALI YA MBINGUNI” Kutuambia Wewe Kama “MLINZI” Ilikuwaje “UKALALA LINDONI” Ama Kuondoka “KWENYE LINDO” Halafu “MWIZI AKAJA NA KUIBA

Tagged with: , , ,
Posted in Mafunzo
yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,212 other followers

Upcoming Events

No upcoming events