Blog Archives

WIVES AND WIVES TO BE

“Every Wife That Acts Like A Mother To Her Husband Will Always Lose Her Place In His Heart As A Wife; He Married A Wife Not A Mother, He Needs Not Any Other Mother He Had Or Has A Mother

Tagged with: , , , , ,
Posted in Mafunzo

I AM

I Am Good When Comes On The “I AM” Part And The “I SHALL” Part But I Have Let Other People To Talk About My “I WAS” Part I Am Dead When Comes On The PAST Issues, But Am Alive

Tagged with: , , , ,
Posted in Mafunzo

Unataka kazi ..

Unataka Kazi Kwa Mungu, Yaani Unaomba Mungu Akupe Kazi, Lakini Mungu Akiangalia, Anaona Hiyo Kazi Itakufanya Uwe BUSY Na Usiwe Na Muda Nae Na Itakufanya Uporomoke Kiroho Na Kurudi Nyuma Kiimani, Hakika Hiyo Kazi Mungu Hatakupa Kwakuwa Anathamini Uzima Wa

Tagged with: , , , , ,
Posted in Mafunzo

ulimwengu wa roho :SALAMU TOKA MWANZA

Naendelea Na Semina Huku Mwanza, Yesu Ni Mwema Na Tunaufurahia Wema Wa BWANA YESU. Kanisa Liko Mkolani- Nyahingi HHC Alive Kwa Mchungaji Dominick Kamuhanda. Wale Wa Mwanza Karibu Tusalimiane Na Kujifunza Pamoja Neno La Mungu. Ijumaa Mpaka Jumapili Tulikuwa Tukijifunza

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo

Imani: Salamu Kutoka Mwanza

Biblia Inaposema, “IMANI CHANZO CHAKE NI KUSIKIA, NA KUSIKIA HUJA KWA NENO LA KRISTO” (Warumi 10:17). Ina Maana Kwamba, “NENO LA MUNGU NDILO LINALOLETA USIKIVU NDANI YA MOYO WA MTU, ILI KUJENGA IMANI… IMANI ITAKAYOTUMIKA KUKUSAIDIA KUUSHINDA ULIMWENGU NA CHANGAMOTO

Tagged with: ,
Posted in Mafunzo

Salamu nyingine kutoka Mwanza

Upako Unaweza Kukaa Kwenye Kitu Chochote Chenye Umbo Linaloeleweka [Physical Structure]… Unaweza Kukaa: -Kwenye MIFUPA YA NABII ALIYEKUFA ELISHA Kiasi Cha Kuweza Kufufua Maiti -Kwenye KIVULI CHA PETRO Hata Kuweza Kuponya Wale Waliojipanga Mitaani Wakimsubiri Enzi Za Matendo Ya Mitume

Tagged with: ,
Posted in Mafunzo

Salamu toka Mwanza

Upako Bila TABIA YA MUNGU NDANI (Character) Ni Sawa Na Ile Ya “Mwanamke Mzuri Asiye Na Akili Anayefananishwa Na Kumvika Nguruwe Pete Ya Dhahabu Puani” (Mithali 11:22). MTU MWENYE TABIA YA MUNGU (Aliyegeuzwa Na Kufanywa Upya Kwa Neno La Mungu)

Tagged with: ,
Posted in Mafunzo

MWANZA KIHUDUMA:

Kesho Alfajiri Nitaelekea Mwanza Kwenye Huduma Ya Semina Ya Neno La Mungu Kwenye Kanisa La HHC ALIVE MKOLANI. Nitaanza Huduma Huko Tarehe 14/03 Hadi 23/03 [Siku 10]. Naamini Utalitaja Jina Langu Mbele Za Mungu, Lakini Pia Ukiweza Kunipa Kikombe Cha

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo
yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,212 other followers

Upcoming Events

No upcoming events