Blog Archives

NDOA

Haikuanzishwa Na WANADAMU Bali MUNGU Ndiye Aliyeanzisha TAASISI HII… Imeanzishwa Na MUNGU Ambaye Ni Roho, Uwe Na Uhakika Haiwezi Kuendeshwa Kwa Kutegemea AKILI, HEKIMA NA MAARIFA YA WANASAIKOLOJIA, WASHAURI WA MAHUSINO Nakadhalika. Kama Ni Ndoa LAZIMA Kwanza MSINGI WAKE Uwe

Tagged with: , , ,
Posted in ndoa

UNATAKA KUOLEWA? UMEJIPANGAAA?

Akina Dada Wanapenda Sana Kuolewa; Lakini Ni Wachache Sana Wanajua Namna Ya Kukaa MKAO WA KUOLEWA, Na Pia Namna Ya Kuchambua Kati Ya MWANAUME MUOAJI NA MWANAUME MUONJAJI! Maua Yana Tabia Ya KUJIFUNGA, Lakini Yanajua Pia Muda Sahihi Wa KUCHANUA

Tagged with: , , ,
Posted in Mafunzo, ndoa

FUTURE HUSBANDS

There Are “Many Women” Who Can Become Your “Companion” If You Decide To… But There Is Only One Woman Among Many Whom God Ordained For You To Be “Your Wife”… God Took Only “One Rib” From Adam To Make Him

Tagged with: , , ,
Posted in Mafunzo

KWA WAOAJI NA WAOLEWAJI

“Kama huyo dada au kaka uliyenaye umemkuta na ushahidi zaidi ya mara moja kwamba ana mtu au watu wengine zaidi yako; ACHANA NAYE. Hiyo ni tabia yake, hataiacha ndani ya muda mfupi uliobakia wa kuelekea ndoa. Labda akutane na Yesu

Tagged with: , , ,
Posted in Mafunzo, ndoa

USIOE KWA SABABU :2

  “Wenzako wote uliokua nao au kusoma nao wanaoa. Ndoa si ALISEREMA ARIJA AU MWENGE TUNAUKIMBIZA. Ndoa ni taasisi ambayo Mungu amemuwekea kila mmoja wetu ALARM ya kujua lini aingie huko na inahitaji HEKIMA ITOKAYO JUU kujua ni yupi ambaye

Tagged with: , , ,
Posted in ndoa

usioe kwa sababu

“Usioe kwa sababu unawaka tamaa, hivyo unaoa ili usiendelee kutenda dhambi nje. Dawa ya tamaa si kuoa. Dawa ya tamaa ni kukubali kuwa tamaa inakutesa, ukubali Yesu akufungue, hiyo roho chafu ikuachie. Sasa ukioa kwa ajili ya kukimbia tamaa, je

Tagged with: , , ,
Posted in ndoa

Nakupenda zaidi Leo

Ikupa Mercy Kyomo nakupenda zaidi leo kuliko nilipokutamkia siku ile ya kwanza BAADA YA SEMINA YA MWAKASEGE JANGWANI miaka 2 iliyopita! Nitakupenda zaidi kadri muda unavyokwenda maana nina TABIA KAMA YA BABA YANGU YA KUTOKA UTUKUFU HATA UTUKUFU KWENYE KILA

Tagged with: , , ,
Posted in Mafunzo, ndoa

HEKIMA ZA NDOA 6

“Ukioa au kuolewa, kama umefuata mchakato huu: Ulimshirikisha Mungu akusaidie kumpata mwenzi wa maisha… Ukajiridhisha kwamba huyo ndo AMEKUKAMATA DUNIA NZIMA na ukajiridhisha kuwa kwako ametia nanga… Akakubali kukutambua na kukutambulisha kwa wachungaji (watumishi wa Mungu), Wazazi na ndugu… Akakutolea

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo

HEKIMA ZA NDOA 5

“Ni mwanandoa mpumbavu pekee anayesubiri aombwe msamaha ili asamehe; Maana waweza kukuta kile unachoona kama kosa, mwenzako anaweza asikione hivyo, kwa kutosamehe ufa huo unaweza kabisa kuiangusha ndoa siku moja. Ni mwanandoa asiye na akili anayesubiri mmewe/mkewe aje kumwambia kosa

Tagged with: , ,
Posted in ndoa

HEKIMA ZA NDOA 4

“Ndoa ni taasisi ambayo unaungana na mtu mwingine ambaye ANAWEZA KUKUTIA MOTO kwenye KULIFUATA NA KULITIMIZA KUSUDI LA MUNGU… Wawili sahihi kila mmoja anakuwa CHUMA KINACHOMNOA MWENZIE kuliishi na kulitimiza kusudi la Mungu walilopewa! Kama unaoa au kuolewa, hakikisha unaolewa

Tagged with: ,
Posted in ndoa
yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,212 other followers

Upcoming Events

No upcoming events