Blog Archives

Shetani hupingana na watu wenye Maono/Ndoto Kubwa

“Shetani HAJAWAHI KUJIHANGAISHA NA WATU AMBAO WANA DESTINY MBOVU AU NDOGO. Shetani anapambana na watu ambao KESHO YAO NI KUBWA SANA. Shetani anapambana sana na watu ambao UWEPO WAO DUNIANI UTALETA SULUHU KWA DUNIA YAO. Ukiona unapata upinzani na vita

Tagged with: , , , , ,
Posted in Mafunzo

Kila ndoto/mawazo ni halisi

“Kama mtu anaweza KUTENGENEZA NDANI YAKE PICHA ya kuua, kuzini au kufanya uovu na HIYO PICHA INATIMIA KWENYE UHALISI, ni kitu gani cha kukufanya uamini kwamba MUNGU ATAKUZUIA KUTIMIZA PICHA ZA MAWAZO MEMA UNAYOONA NDANI YAKO? Come on, KILA UNACHOONA

Tagged with: , , , ,
Posted in Mafunzo

PATA PICHA

“Kama Mungu hamzuii MZINZI, MUUAJI, MCHAWI na waovu kutimiza MAWAZO MABAYA YALIYOMO MIOYONI MWAO ataanzaje kukuzuia USITIMIZE MAWAZO NA NDOTO NJEMA ULIZONAZO NDANI? Acha kumsingizia Mungu; KAMA UNALIONA JAMBO JEMA NDANI YAKO limewekwa na Mungu humo, LIFANYIE KAZI LIONEKANE NJE…

Tagged with: , , ,
Posted in Mafunzo

MAOMBI NA USHAURI KWA WENYE “MAWAZO, MIPANGO, NDOTO NA MAONO

Nitakuwa Na Maombi Maalumu Kwa Ajili Ya Wale Wenye Mawazo, Mipango, Ndoto Na Maono Ya Kutimiza Mambo Fulani Ndani Ya Mwaka Huu 2014. Ni Maombi Kwa Ajili Ya Wale Wenye WAZO LOLOTE AU MPANGO WOWOTE WA KIMAENDELEO Na Kwa Wale

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo, sala

NIKUULIZE SWALI???

Kama Ungekuwa Na Pesa Yote Unayohitaji, Una Kila Rasilimali Unayohitaji, Una Kila Kitu Unachohitaji, UNGEFANYA NINI?? [Tafakari Kwa Dakika Moja Walau] Usinijibu, Kaa Na Jibu Lako… Hicho Kilichokujia Ndani Yako Baada Ya Kuweka Pembeni Vizuizi Na Changamoto, Ndicho Mungu Amekuumba

Tagged with: ,
Posted in Mafunzo

Mambo Manne Muhimu sana

MAMBO MANNE YA MUHIMU SANA YATAKAYOKUFANYA UWEZE KUTIMIZA NDOTO, MAONO AU JAMBO LOLOTE KWENYE MAISHA! Kama Unataka Kufanya Chochote Kwenye Maisha Kiwe KIKUBWA AU KIDOGO Lazima Uzitumie Hatua Hizi Nne, Na Lazima Utapitia Hatua Hizi Nne. Yaani Hizi Hatua Nne Ni

Tagged with: , , , ,
Posted in Mafunzo

Namna ya kutimiza ndoto/maono au njozi yoyote uliyonayo (soma hii, ielewe itakusaidia; kisha share kwa wengine nao wasaidike)!

Siku Zote Mungu Huwa Ana Tabia Ya Ku-Support MAONO (Vision) Aliyokupa. Lakini Hataweza Kui-Support Kama HAUJACHUKUA HATUA YA KUIHAMISHA “TOKA KICHWANI” Ije Kwenye “KARATASI-MAANDISHI” Ili WATU WENGINE Wapate Nafasi Ya KUISOMA NA KUIELEWA KAMA MAJI (Yaani Iwe Katika Namna Rahisi Na

Tagged with:
Posted in Mafunzo

Niseme kidogo kuhusu ndoto.

by Carlos Ricky Wilson Kirimbai Ndoto ni nini? Ndoto ni kama dirisha linalompa mtu kuona nini kinaendelea katika ulimwengu wa roho. Kupitia ndoto unaweza kuona kinachoendelea katika ulimwengu wa roho wa Mungu au ulimwengu wa roho wa shetani. Kuna ulimwengu

Tagged with:
Posted in Mafunzo
yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,212 other followers

Upcoming Events

No upcoming events