Blog Archives

Yesu amechukua magonjwa yetu

“Maandiko yanasema YESU AMEYACHUKUA MAGONJWA YETU, NA KUYATWAA MADHAIFU YETU (Mathayo 8:17-18). Mimi SITAKI KUYACHUKUA, WALA SIMTUI HAYO MAGONJWA, KAMA KAYACHUKUA, SI YANGU HAYANIHUSU, KAMA KAYATWAA, SITARAJII KUWA NAYO, MIMI SI MKRISTO MJINGA ANAYEAMINI KUNA MBINGU ANAYOKWENDA HALAFU ANARUHUSU SHETANI

Tagged with: , , , ,
Posted in Mafunzo

Sijawai Ona

​ “Sijawahi kumuona mtu aliyeuzamisha moyo wake jumla kwa Mungu kupitia SIFA NA KUABUDU, MADHABAHU YA MAOMBI, UTOAJI,  MADHABAHU YA NENO na MAARIFA YA KINA TOKA KWA WALIOTANGULIA WANAOFANYA VITU KWA UBORA ambaye bado anawaza wapi atapata pesa, nini atakula,

Tagged with: , , , , ,
Posted in Mafunzo

MRITHI WA NENO PAMOJA NA NENO

Unapolitumia NENO LA MUNGU Kama “SILAHA ILIYO NJE YAKO” Ni Sawa Itafanya Kazi Lakini “SI KWA KIWANGO NA UBORA UNAOTAKIWA” Na Hakika Hautapata Kiwango Cha Ubora Ambao Mbingu Zimekusudia Upate Kutoka Kwenye NENO. Biblia Inasema, “UMEZALIWA MARA YA PILI KWA

Tagged with: ,
Posted in Mafunzo

Kuishi kwa Neno

“Unapaswa kuwa na BALANCE NZURI kati ya wewe kama roho (mtu halisi), na wewe kama mwili (nyumba ya roho) kwenye eneo la MUDA. Mtu wa ndani (roho yako), ametokana na Mungu ambaye NI WA MILELE na ambaye hana jana, leo

Tagged with: , , ,
Posted in Mafunzo

Kuzitoa baraka 002

“Njia ya pili ya kutoa baraka ulizobeba NDANI YAKO kudhihirika NJE KWENYE DUNIA YAKO ni kwa KUSEMA UNACHOONA NDANI YAKO bila kujali mazingira yakoje. MANENO NI NISHATI YA KIROHO isiyoonekana lakini YENYE MATOKEO YASIYOPINGIKA. Mungu AMETUUMBA KWA SURA NA MFANO

Tagged with: , , , ,
Posted in Mafunzo

Kuzitoa Baraka 003

“Njia ya tatu ya kufanya ili ULIVYONAVYO NDANI vitoke na vidhihirike NJE KWENYE DUNIA YAKO ni KUITUMIA IMANI KATIKA NENO LA MUNGU. Imani ni HAKIKA YA MAMBO YATARAJIWAYO. Imani haibahatishi, imani ni hakika! Imani ina uwezo wa KUYAZAA YASIYOKUWEPO UNAYOYATARAJIA.

Tagged with: , , , , ,
Posted in Mafunzo

WATUMISHI WA MUNGU NA WAKRISTO

Asante sana Mwalimu. Mimi ni member wa Winners Chapel, ni kanisa langu. Model ya leadership ya hili kanisa pamoja na efforts zisizokoma za Papaa Oyedepo; huwa natamani makanisa ya hapa nyumbani yajifunze kitu. Usifikiri wanaua tu karama zao na makanisa

Tagged with: , , ,
Posted in Mafunzo

Neno la Mungu

Kuna wakati huwa hata mimi najishangaa… Neno la Mungu limegeuza maisha yangu… Limepandisha thamani yangu maradufu… Limenifanya nikutane na watu ambao nisingekutana nao… Limepandisha hadhi na heshima yangu… Limekuza jina langu … Limenipa fursa lukuki za kimaisha… Limebadili mtazamo wangu

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo

Usisahau hii

“Kila unaposikia au kusoma Neno la Mungu halafu usilichanganye na imani moyoni mwako, hautapata matokeo yake katika uhalisia” (Soma Waebrania 4:2).

Tagged with: ,
Posted in Mafunzo

PANDA MBEGU YA MANENO NA NENO

“Ni Vema Ujue Kwamba, “MUNGU ALIIAMURU NCHI [ARDHI] Itoe MIMEA [Uoto Wa Asili] Tena Bila Kwenda Kupanda MBEGU ZA MIMEA Husika… MBEGU PEKEE Aliyokuwa Nayo Mungu Ilikuwa Ni NENO LAKE… Mwisho Wa Siku ARDHI [NCHI] Ilitoa Hiyo Mimea KWA NENO

Tagged with: ,
Posted in Mafunzo
yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,212 other followers

Upcoming Events

No upcoming events