Blog Archives

NGUVU YA MAONO KATIKA KUAMUA KIWANGO CHA HATMA YAKO.

Utangulizi Mungu alipoumba mwanadamu, hakumuumba kama viumbe wengine. Alimuumba mwanadamu kwa “sura yake” na kwa “mfano wake”. Mungu hakumuumba “mwanaume” akiwa bora kuliko mwanamke! Mungu aliwaumba mwanamke na mwanaume siku moja, na wote aliwaumba “roho zao” kwa sura na mfano

Tagged with: , , , , ,
Posted in Mafunzo

FAHAMU THAMANI NA NGUVU YA DAMU YA YESU

1. Ni uhai wa Mungu uliotutoa mautini kutuingiza uzimani (1Petro 1:18-19, Yoh 5:24). 2. Damu ya Yesu ni tiketi na ufunguo pekee uliotuingiza kwenye familia ya Mungu (Ufunuo 5:8-10) 3. Ni silaha ya vita inayompa ushindi mtu aliye katika familia

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo

Kunatofauti Kubwa

“Kuna tofauti kubwa kati ya wanaofanya vitu ili waonwe na kusifiwa na watu na wale wanaofanya vitu ili kugusa na kubariki maisha ya watu… Wanaotafuta sifa kwa watu wanacompromise na kuwaharibu watu kwa kutowaambia ukweli ili wasiwapoteze au wasichukiwe… Ila

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo

USHUHUDA

Marafiki wa mwl tuendelee kupeana shuhuda ambazo Mungu wetu amekuwa akitufanyia nianze na mimi juzi nilienda Brela kwa ajili ya kuregister kampuni yangu. Ukweli sikuwa najua kitu isipokuwa ile tu google iliweza nielekeza namna so nimefika nikakuta watu wengi halafu

Tagged with: , ,
Posted in ushuhuda

Kutomtii Mungu

Shetani Ana NGUVU Ile tu Ambayo WEWE UMEMPA Kwa KUTOMTII MUNGU NA KUTOMPINGA SHETANI. “Mtiini Mungu. Mpingeni Shetani Naye Atawakimbia” (Yakobo 4:7). Unaanza UTII KWA MUNGU Unaosababisha NGUVU ZA MUNGU NA ULINZI WAKE Kuachiliwa Kwako Kisha Uamuzi Wako Wa KUTOMHURUMIA

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo

NDANI YAKE

Umewahi Kumwona Kuku Anayejaribu Kumdonoa Panzi Ndani Ya Chupa Ya Soda?? Yule Panzi Anakuwa Na Mashaka Na Hofu Kila Mara Kuku Anapochukua Hatua Ya Kuikaribia Chupa Na Kujaribu Kudonoa; Akili Ya Panzi Inadhani Kwamba ULE NI MWISHO WAKE…. Lakini Kwa

Tagged with: , , , ,
Posted in Mafunzo

NINATAMKA NA KUTANGAZA KWA MAMLAKA NA NGUVU ZA ROHO MTAKATIFU!

Neno La Mungu Ni Mamlaka Isiyojua Mipaka, Na Kama Mtumishi Wa Mungu Aliye Hai, Ninatamka Yafuatayo Kwako kwa NGUVU YA NENO LA MUNGU: -Kila Mwamba Wako [Ugumu Unaoupitia] UTOE MAJI Yatakayokomesha Kiu Yako Kama Ilivyokuwa Kwa Waisraeli Jangwani -Kila Lililoinuka

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo

Mambo Saba

MAMBO SABA AMBAYO YESU [MWANAKONDOO ALIYECHINJWA] AMEYAPOKEA KWA AJILI YAKO, NA NI YAKO KWENYE MAISHA YA SASA HAPA DUNIANI NA MILELE MBINGUNI:1.Uweza [Power]2.Utajiri [Riches]3.Hekima [Wisdom]4.Nguvu [Strength]5.Heshima [Honor]6.Glory [Utukufu]7.Baraka [Blessings]Chanzo: Ufunuo 5:12Yesu Amekununua Kwa Damu Yake Na Kukufanya Uwe MFALME NA

Tagged with: , , , ,
Posted in Mafunzo

nguvu na Mamlaka

Usijefanya Kosa La Kufikiri “YESU ATAKUWA NA MAMLAKA NA NGUVU ZOTE” Baadae Au Nyakati Zijazo! Ukweli Ni Huu, Tangu Yesu Alipokufa Na Kufufuka Kwa Ushindi, Mungu Baba Alimpa KILA MAMLAKA, UTAWALA NA NGUVU ZA KUTAWALA MBINGUNI, DUNIANI NA HATA KUZIMU.

Tagged with: ,
Posted in Mafunzo

Ufalme wa Mungu unakaa ndani yetu

Kuwa Na Yesu Ndani Yako Ambaye “HAUMTUMII” Ni Sawa Na Kuwa Na MGODI Ambao Hauchimbwi Na Kuzalisha MADINI…. Mmilki Yeyote Wa MGODI Asiyechimba MADINI Atakuwa Masikini Japo Anamilki UTAJIRI! Hivi Ndivyo Walivyo WAKRISTO WENGI WA KIZAZI HIKI; Hawajui Ndani Yao

Tagged with: , , ,
Posted in Mafunzo
yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,212 other followers

Upcoming Events

No upcoming events