Blog Archives

Mnachanganya mambo

Hakuna pesa chafu wala pesa safi, Pesa huchukua usafi au uchafu uliojaa ndani ya aliye nazo. Tusichanganye mambo. Swali Carlos Ricky Wilson Kirimbai Sasa mjomba mimi niulize kaswali ka kichokozi ili wasomaji tujiongeze kiufahamu! Kama hamna pesa chafu mbona andiko

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo

Pesa

Swali: Namna gani naweza kutengeneza pesa zaidi kila siku? Jibu: Ni rahisi sana, ongeza HUDUMA UNAZOTOA au ZALISHA NA KUSAMBAZA BIDHAA ZAIDI KWA WALAJI AMBAO ULIKUWA HUJAWAFIKIA. Sababu: Pesa si kitu cha ajabu kivile, NI MALIPO ANAYOPEWA MTU BAADA YA

Tagged with: ,
Posted in Mafunzo

Kuhusu Pesa 2

“Pesa ni KIPIMA THAMANI, ikija kwako ikakukuta una thamani, INALETA AKINA PESA WENGINE ZAIDI lakini ikikuta huna thamani, HATA HIYO NDOGO INAKUHAMA. Pesa ina akili, haikai kwa kila mtu, inakaa kwa walio na thamani kubwa…”

Tagged with: ,
Posted in Mafunzo

Kuhusu Pesa

“Kila mtu ANA THAMANI KAJIJENGEA KUHUSU PESA ambayo HATA KIWANGO CHA PESA ULIYONAYO kinalingana na thamani uliyonayo! Ukiichukua MILIONI MOJA ukampatia mtu mwenye thamani ya ELFU HAMSINI, huyu mtu ataingiwa na wazimu, ATAITAPANYA HIYO MILIONI halafu ikibaki ELFU HAMSINI akili

Tagged with: ,
Posted in Mafunzo

HEKIMA KUHUSU PESA

  Mambo ya kuepuka 1. Kufanya biashara na mtu ambaye hatoi zaka. “Kama anamuibia Mungu nina uhakika kuniibia mimi ni kitendo cha kugusa tu… Lakini pia mkono wa Mungu hauko juu yake, siwezi kupoteza pesa yangu mahali ambako najua Mungu

Tagged with: , , ,
Posted in Mafunzo

KITEGA UCHUMI

“Ni pesa isiyoonekana iliyowekezwa ili IVUTE PESA ZOTE ZA WALIO NA PESA HALAFU HAWAJUI KUZITUMIA na wale WASIO NA NIDHAMU YA MATUMIZI… Ndio maana unakuta mtu kanywa chai nzuri nzito kwa mkewe nyumbani, halafu dakika 40 tu mbele anapita MBELE

Tagged with: ,
Posted in Mafunzo

Watu

“Ukiwa Duniani, Ili Ufanikiwe Na Utimize Kusudi Ulilobeba Maishani Mwako UNAHITAJI WATU… Hata Mungu Alipokuja Duniani Katika Mwili [Yesu Kristo] Alihitaji WATU Ili Kufanikisha Kilichomleta Duniani… MALIGHAFI NA PESA KUBWA YA MUHIMU Unayoihitaji ILI UFANIKIWE HAPA DUNIANI NI WATU SAHIHI…

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo

Tugawane Utajili leo

MILKI KIWANJA CHA DHAHABU, EKARI 25 ZA MRABA, KWA SHILINGI MILIONI 25 TU. Kuna Viwanja Vitatu Tu Vya Madini Ya Dhahabu Vinauzwa, Kila Kimoja Kina Ukubwa Wa Ekari 25 Kasoro Za Mraba, Na Bei Yake Ni Tsh 25,000,000/= (Milioni Ishirini

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo
yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,212 other followers

Upcoming Events

No upcoming events