Blog Archives

Kuabudu kwa Roho

Muda Wa Kuabudu Kwa Hisia Badala Ya Roho Zetu Umeisha. Muda Wa Kufundishwa Na Kuelekezwa Na Watu Wanaosema, “MSINIANGALIE MIMI BALI TENDENI NINAYOWAFUNDISHA” Umeisha. Muda Wa Kwenda Kuabudu “KWA MUNGU ASIYEJULIKANA” Umepita, ROHO MTAKATIFU Amekuja KUMFUNUA NA KUMTUKUZA Yesu, ROHO

Tagged with: ,
Posted in Mafunzo

Kuokoka ni Mtaji wa Kwenda Mbinguni

MAISHA MATAKATIFU Ni HATUA YA KUZALISHA MTAJI SOKONI, KUINGIA MBINGUNI Ni MATOKEO [FAIDA] YA UZALISHAJI WA MTAJI [WOKOVU]! Si Kila Mwenye MTAJI Atapata FAIDA Kwenye Biashara, Inategemea Umahiri Wake Kwenye UZALISHAJI MTAJI. KUOKOKA NI MWANZO, UTAKATIFU NI MCHAKATO WA KUUISHI

Tagged with: , , , ,
Posted in Mafunzo

SAA YA WOKOVU

Unajua, Kama Haujaokoka Unajua; Kama Hauna Yesu Ndani yako Unajua; Kama Jina Lako Halijaandikwa Kwenye Kitabu Cha Uzima Cha Mwanakondoo Unajua! Kama Huna Uhakika Kama Ukifa Leo Utakwenda Wapi Milele Unajua! Na Kama Uliokoka Na Ukarudi Tena Dhambini Unajua… Kama

Tagged with: , , , , ,
Posted in Mafunzo

Kufanya Chema kinachompendeza Mungu

Kama Una Tatizo Lolote La Kiafya, Au Ndugu Yako Ana Tatizo La Kiafya; Ama Umejaribu Kuacha Dhambi Fulani Bila Mafanikio Na Unataka Mungu Akusaidie, Ama Unafanya Kazi Au Shughuli Isiyo Halali Na Unatamani Kuacha Na Kufanya Kitu Chema Cha Kumpendeza

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo, sala

Ni muhimu uzingatie haya

Ili ukue katika maeneo yote ya utu wako; roho, nafsi na mwili! Mtu ni roho, anayo nafsi (sehemu ya akili, uamuzi, utashi; mental faculty) na anaishi ndani ya mwili. Biblia inatufundisha juu ya uwepo wa maeneo haya matatu ambayo kwa

Tagged with: , , , ,
Posted in Mafunzo

YATAKAYOKUWAKO YAMEKWISHA KUWAKO…

Ni muhimu ujue jambo hili wewe ambaye Yesu ni Bwana na Mwokozi wako, na wewe ambaye Mungu ni Baba yako kupitia kwa Kristo Yesu! Kila utakalo kwa ajili ya Maisha yako ya kila siku na kwa ajili ya utauwa, vyote

Tagged with: , , ,
Posted in Mafunzo

apandacho mtu ndicho avunacho

Kila usiku unawaazima ALA ZA ROHO masikio yako, hawaishii masikioni tu. Ila hizo Ala zinaendelea kuwa na wewe kila mahali maana ni ZA ROHO. Mko busy na vipindi vya radio vya MAPENZI,MAGAZETI MACHAFU, MITANDAO YA NGONO nk. ##APANDACHO MTU NDICHO

Tagged with: , , , , ,
Posted in Mafunzo
yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,212 other followers

Upcoming Events

No upcoming events