Blog Archives

Sijawai Ona

​ “Sijawahi kumuona mtu aliyeuzamisha moyo wake jumla kwa Mungu kupitia SIFA NA KUABUDU, MADHABAHU YA MAOMBI, UTOAJI,  MADHABAHU YA NENO na MAARIFA YA KINA TOKA KWA WALIOTANGULIA WANAOFANYA VITU KWA UBORA ambaye bado anawaza wapi atapata pesa, nini atakula,

Tagged with: , , , , ,
Posted in Mafunzo

Sadaka

Kama Hauwezi Kumtii Mungu Kwenye SADAKA, Hasa AHADI/ NADHIRI Na Fungu La Kumi, Sioni Ni Kwa Namna Gani Utaweza Kumtii Mme Wako Kama Kumtii Kristo! Kama Hauwezi Kumpenda Mungu Kwa Mali Yako, Muda Wako, Moyo Wako Na Nguvu Zako Zote

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo

KWA MHUDUMU WA INJILI

“Hakuna Kitu Kama KUJIKOPESHA PESA YA MUNGU Wakati Unapokuwa Na Uhitaji Wa Pesa, Kama Mungu Hawezi Kutimiza Mahitaji Yako Ni Bora Ufe Au Upate Aibu Katika UAMINIFU Kuliko Kunyoosha Mkono KUGUSA NA KUTUMIA Kilichowekwa Wakfu Kwa BWANA” Ukivuka Mtihani Huu:

Tagged with: , , , ,
Posted in Mafunzo

UKARIMU NA UTOAJI HAVIANGALII HALI YA MAISHA NA UCHUMI

Mtu Anayesubiri Hali Yake Ya Kimaisha Na Uchumi Iwe Nzuri Ndipo Awe Mtoaji Kwa Mungu Na Baraka kwa Wengine KAMWE HALI YAKE HAITABADILIKA! Mungu Anazitumia MBEGU NDOGO NDOGO Tunazopanda Katika Viwango Vyetu Vya Chini Vya Maisha Kutupa Maisha Tunayoyatarajia. PESA

Tagged with: , , ,
Posted in Mafunzo

Je unapowapa watu vitu,unavitoa kwa jicho la sadaka???

Hivi Umewahi Kujiuliza Kama Mungu Akikupa VITU AMBAVYO TAYARI UNAVYO Badala Ya VILE UNAVYOHITAJI, Utafurahi Na Kupokea Kwa Furaha Kama Ambayo Akikupa VILE UVIHITAJIVYO SANA KWA WAKATI HUO??? Unapochukua Hatua Ya KUMPA MTU MWINGINE KITU [KWA JICHO AU MTAZAMO WA

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo

Sadaka

Yesu Anasema, “BASI UKILETA SADAKA YAKO MADHABAHUNI, NA HUKU UKIKUMBUKA/ UKIJUA YA KUWA NDUGU YAKO ANA NENO JUU YAKO, IACHE SADAKA YAKO MBELE YA MADHABAHU, UENDE ZAKO UKAPATANE NAYE KWANZA HALAFU NDIPO URUDI NA KUTOA SADAKA YAKO” (Mathayo 5:23-24). Hili

Tagged with:
Posted in Mafunzo

Aina za watoa sadaka

Aina za watoa sadaka na mitazamo iliyo mioyoni mwao; 1.Wanaotoa kwa sababu wanajua Mungu atawarudishia maradufu…hawa wanatoa wakiwa na wazo la kutumia sadaka kama chambo cha kupata pesa au uchumi mzuri toka kwa Mungu (hawatoi kwa vile wanampenda Mungu wao

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo
yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,212 other followers

Upcoming Events

No upcoming events