Blog Archives

JIFUNZE VITU VYA MUHIMU 

Siku Nikikukuta Unamwinua Shetani Na Kumtukuza Kwa Kauli Zako Nitachukua Kiboko Nikuchape Kabisa… Zile Kauli Za Kusema Shetani Ni Hatari Sana, Ana Nguvu Sana… Shetani Anashindana Na Yesu Na Nyingine Za Aina Hii Ni Za Watoto Wachanga! Shetani Ni Malaika

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo

Usiseme sikukuambia

Usitafute Vita na Shetani bure, KABLA HUJAMPINGA jikague kiwango chako cha KUMTII MUNGU…Yakikukuta ya Wana wa Skewa usiseme sikukuambia…” Yakobo 4:6-7, Matendo 19:13

Tagged with: ,
Posted in Mafunzo

Chini ya Miguu

“Namuona Shetani chini… Namaanisha chini ya miguu ya Kristo Yesu (Waefeso 1:19-23)… Namaanisha chini ya Miguu yangu na chini ya Kila Mkristo aliyeokoka, kujazwa Nguvu za Roho Mtakatifu na anaishi maisha matakatifu (Rumi 16:20)… Namaanisha Shetani yuko chini, Chini ya

Tagged with: ,
Posted in Mafunzo

Siri za Uchumi wa Mungu

  “Ninachojua mimi:Shetani hawezi kukusemesha kwamba Utoe sadaka! Ila anaweza kukuonesha ulivyo na mahitaji na matatizo mengi ili Usitoe kabisa AU Upunguze sadaka uliyosukumwa kutoa moyoni na Roho wa Mungu ili Upate hasara kama Anania na Safira maana anajua; Mungu

Tagged with: ,
Posted in Mafunzo

NAMNA YA KUITOA DHAMBI NDANI YAKO (ADDICTION)!

  “Shetani hana nguvu akiwa NJE YA MTU mpaka anapopewa nafasi na mtu ya KUINGIA NDANI YAKE. Mungu alimwambia Kaini; ANGALIA DHAMBI IKO MLANGONI INAKUOTEA (Mwanzo 4:7). Mtu aliyeokoka yuko salama dhambi ikiwa nje, hata kama iko mlangoni, LAKINI akifanya

Tagged with: , , , , ,
Posted in Mafunzo

Kutomtii Mungu

Shetani Ana NGUVU Ile tu Ambayo WEWE UMEMPA Kwa KUTOMTII MUNGU NA KUTOMPINGA SHETANI. “Mtiini Mungu. Mpingeni Shetani Naye Atawakimbia” (Yakobo 4:7). Unaanza UTII KWA MUNGU Unaosababisha NGUVU ZA MUNGU NA ULINZI WAKE Kuachiliwa Kwako Kisha Uamuzi Wako Wa KUTOMHURUMIA

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo

NIMEMKASIRIKIA SHETANI NA UONGO WAKE [A MUST READ]!!

Unatarajiaje Mimi Nikufundishe Wewe KANUNI ZA KIROHO ZA MAFANIKIO YA KIFEDHA NA KIUCHUMI Halafu Mimi Niwe Masikini??? Maana Huu Ndio Mtazamo Wa Watu Wa Kazazi Hiki Kiovu…. Hawataki WATUMISHI WA MADHABAHUNI WAWE NA MAISHA YA JUU Ilhali Wakitaka WATUMISHI HAOHAO

Tagged with: , , , ,
Posted in Mafunzo

Shetani Yuko kwenye Kifungo

Ni Kweli Kabisa Kwamba “SHETANI YUKO KWENYE KIFUNGO KUZIMU AKISUBIRI HUKUMU YAKE NA MALAIKA ZAKE WAASI” (Yuda 1:6) Lakini FIKIRA ZAKE NA MATENDO YAKE YA KUCHINJA, KUIBA NA KUHARIBU (Yohana 10:10) Yako Duniani Sasa KUPITIA WANA WA UASI (Waefeso 2:2)

Tagged with: , , , ,
Posted in Mafunzo

SHETANI NA WEWE, VITA NI RAHISI SIKU ZOTE..!

Shetani Anasema “SHUSHA VIWANGO, GEUZA MAWE YAWE MIKATE” Jibu Ni Rahisi, “SITAUZA HAKI YANGU YA MZALIWA WA KWANZA KWA AJILI YA DENGU KAMA ESAU… MTU HATAISHI KWA MKATE TU BALI KWA KILA NENO LITOKALO KINYWANI MWA MUNGU” Mungu Uliyembeba Anaweza

Tagged with: ,
Posted in Mafunzo

Kauli za wakiristo

Kati ya kauli wanazotumia Wakristo wengi ni “SHETANI AMEJIINUA mambo yakaharibika nk” lakini Biblia inasema ‘SHETANI YUKO CHINI YA MIGUU YETU’…AKIJIINUA, ANAKUINUA WEWE ZAIDI. Kawaulize YUSUFU, DANIEL na akina SHEDRACK, MESHACK na ABEDNEGO watakwambia! Mwanamke au Mwanaume asiyekuwa na muda

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo
yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,212 other followers

Upcoming Events

No upcoming events