Blog Archives

SIKU 30 ZA MIUJIZA NA MAAJABU. (SIKU 30 ZA MFUNGO)[Day 30]

03/02/2016. “KIWANGO HALISI CHA MUNGU ANACHOTAKA UISHI (THE REAL LIFE GOD DESIRES FOR YOU)” NENO KUU: ** MATHAYO 6:25-30. 25 Kwa sababu hiyo nawaambieni, Msisumbukie maisha yenu, mle nini au mnywe nini; wala miili yenu, mvae nini. Maisha je! Si

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo

SIKU 30 ZA MIUJIZA NA MAAJABU. (SIKU 30 ZA MFUNGO). [DAY29]

02/02/2016. “HEKIMA YA KIMUNGU (DIVINE WISDOM)” Hakuna mtu asiyetaka kuishi kwa urahisi hapa duniani. Naamini kila mtu akipata dawa ya kula kwa jasho atamtukuza Mungu. Na dawa hiyo ni HEKIMA YA KIUNGU. Naomba usome hili somo kwa makini na umsihi

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo

SIKU 30 ZA MIUJIZA NA MAAJABU. (SIKU 30 ZA MFUNGO). [Day 28]

01/02/2016. “SABABU KUMI NA MBILI ZA KIBIBLIA KWANINI USIWE MASIKINI (TWELVE BIBLICAL FACTS WHY YOU ARE SUPPOSED NOT TO BE POOR AT ALL)” 1. Umebeba sura na mfano wa Mungu ambaye ni tajiri (Zaburi 24:1, Hagai 2:8), aliyefanikiwa katika kila

Tagged with: , , , , ,
Posted in Mafunzo

SIKU 30 ZA MIUJIZA NA MAAJABU. (SIKU 30 ZA MFUNGO).[Day27].

31/01/2016. “NGUVU YA MAPATANO (THE POWER OF AGREEMENT)” Mapatano ni makubaliano kati ya watu wawili au zaidi ili kufanya jambo. Pia yaweza kuwa makubaliano kati ya makundi mawili au zaidi ya watu kwa kusudi la kufanya jambo moja pamoja. Kibiblia

Tagged with: , , ,
Posted in Mafunzo

SIKU 30 ZA MIUJIZA NA MAAJABU. (SIKU 30 ZA MFUNGO). [Day26]

  30/01/2016. “BARAKA YA BWANA (THE BLESSING OF THE LORD)” Nimekuwa nikisikia watu wakisema “Wahubiri wa kizazi hiki wanawahubiria watu baraka baraka baraka tuuuuu” …. Hii sentensi binafsi inanikera sana sana sana! Watu kuhubiriwa au kufundishwa kuhusu baraka ni mpango

Tagged with: , , ,
Posted in Mafunzo

SIKU 30 ZA MIUJIZA NA MAAJABU. (SIKU 30 ZA MFUNGO).[Day 25]

29/01/2016. “MKRISTO NI MTU WA KIWANGO CHA DUNIA (A CHRISTIAN IS A GLOBAL PERSONALITY)” 1. WATOTO WA MUUMBA NA MMILKI WA DUNIA NA ULIMWENGU. “Nchi na vyote viijazavyo ni mali ya Bwana; DUNIA NA WOTE WAKAAO NDANI YAKE” (Zaburi 24:1).

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo

SIKU 30 ZA MIUJIZA NA MAAJABU. (SIKU 30 ZA MFUNGO). [Day 24]

28/01/2016. “UTENDAJI WA MALAIKA MAISHANI MWAKO (FUNCTIONALITY OF ANGELS IN YOUR LIFE)” Kila mtu duniani amewahi kusikia kuhusu malaika. Na karibu kila mtu anaamini kuhusu uwepo wa malaika. Na kila anayeamini katika Mungu kwa dhati au kwa kubeep anaamini kuna

Tagged with: , , ,
Posted in Mafunzo

SIKU 30 ZA MAAJABU NA MIUJIZA. (SIKU 30 ZA MFUNGO)[Day 23 ].

27/01/2016. “NGUVU YA SHUHUDA (THE POWER OF TESTIMONS)” “Nao wakamshinda kwa damu ya Mwanakondoo, na kwa NENO LA USHUHUDA WAO…” (Ufunuo 12:11). Watu wengi hawajui ni kwanini shuhuda ni za muhimu katika maisha ya imani. Na hawajui pia namna ya

Tagged with: , , ,
Posted in Mafunzo

SIKU 30 ZA MAAJABU NA MIUJIZA. (SIKU 30 ZA MFUNGO). [Day 22]

26/01/2016. “KUISHI NJE YA UKANDA WA IBILISI (LIVING BEYOND DEVILS REACH)” Ninasikia kuhusu maombi ya vita. Ni maombi maarufu ya kupigana na Ibilisi na majeshi yake. Ni maombi maarufu siku hizi za mwisho kwa sababu Ibilisi naye ana bidii akitafuta

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo

SIKU 30 ZA MIUJIZA NA MAAJABU. (SIKU 30 ZA MFUNGO)[Day21].

  Day 21, 25/01/2016. “FUNGUO ZA UFALME WA MBINGUNI (THE KEYS OF THE KINGDOM OF GOD)” Mathayo 16:19. “Nami nitakupa wewe FUNGUO ZA UFALME WA MBINGUNI; NA LOLOTE utakalolifunga duniani, litakuwa limefungwa mbinguni; NA LOLOTE ambalo utalifungua duniani litakuwa limefunguliwa

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo
yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,212 other followers

Upcoming Events

No upcoming events