Blog Archives

Nyinyi ni chumvia ya Dunia

“NINYI NI CHUMVI YA DUNIA, NA NURU YA ULIMWENGU…Vivyo hivyo watu wayaone matendo yenu mema wamtukuze Baba yenu aliye mbinguni”…Je wewe ni CHUMVI hapo ulipo? Unatia Radha au? Je wewe ni Nuru? Unalitimua giza? Unaisimamia kweli? YESU ANA MASWALI KWAKO!

Tagged with: , , , , ,
Posted in Mafunzo

Umaskini si tiketi

Kuwa MASIKINI si tiketi ya wewe kwenda mbinguni wala kuwa TAJIRI si tiketi ya kuikosa Mbingu.Biblia inatuonesha MASIKINI Lazaro akiwa kifuani mwa TAJIRI Ibrahimu (Luka 16:19…).Unaweza kufika mbinguni ktk hali yoyote ilimradi Uogelee ktk NEEMA YA WOKOVU. It takes 2

Tagged with: , , , , ,
Posted in Mafunzo

uwanja wa utumishi

Wakati naingia kwenye UWANJA WA UTUMISHI WA MADHABAHUNI,kiu yangu kubwa ilikuwa ni kuona Miujiza ikifanyika,Wagonjwa wakiponywa nk.Nilikuwa tayari Kufunga na kuomba kwa siku kadhaa lakini sikuwa nikiliruhusu NENO LA MUNGU NA ROHO MTAKATIFU Wanishughulikie! Siku ukiamua Kuyafisha MAPENZI NA MATAKWA

Tagged with: , , , , ,
Posted in Mafunzo

shirikisha neno la Mungu

Mtu AKINIPENDA,ATALISHIKA NENO LANGU,Mimi pamoja na Baba yangu tutakuja na kuweka makao ndani yake”(Yoh 14:23). Unadhani kuna raha gani kubwa hapa duniani tofauti na Mungu Baba na Bwana Yesu kuishi ndani yako? Ila gharama yake ni KULISHIKA NENO LA KRISTO

Tagged with: , , , , ,
Posted in Mafunzo

Mungu ni nani kwako?

Mungu hawezi kujifunua kwako ZAIDI ya kiwango chako cha kumjua Yeye.Kwa Musa alikuwa WIMBO WAKE NA NGUVU ZAKE(Kut 15:2).Kwa Daudi alikuwa MCHUNGAJI, NGAO,MWAMBA,KIMBILIO,WOKOVU nk. Kwa Ayubu alikuwa MTETEZI WAKE…Je ni nani kwako? UFANISI>>> Katika jambo lolote unalofanya, unalotaka kufanya; ili

Tagged with: , , , , ,
Posted in Mafunzo

Uzima milele

  KINYWA CHA MTU>>>Yesu anasema, “Kinywa cha mtu huyanena yaujazayo moyo wake”(Math 12:34).Aina ya Maneno usemayo inatusaidia kufahamu wewe ni NANI HASA…Ukijilisha Neno la Mungu utaongea IMANI. Ukijilisha kile dunia isemacho, UTAKUWA MTUMWA na utasema hayo   UZIMA WA MILELE>>>Yesu

Tagged with: , , , ,
Posted in Mafunzo

Ziko Hila ,Mwamini Mungu

MWAMINI MUNGU>>>Inawezekana unapitia changamoto au nyakati ngumu sana muda huu,na unaona hakuna msaada…Ukweli ni kwamba Mungu anajua hilo na anakutazama, hajakuacha wala kukusahau…Acha Kulia, Machozi hayawezi kukuletea Wokovu.Mungu anasubiri IMANI yako   ZIKO HILA>>> Ziko hila [mipango] nyingi moyoni mwa

Tagged with: , , , , ,
Posted in Mafunzo

Utakuwepo?

Kuna SHEREHE KUBWA INAKUJA, kubwa kuliko ile ya Prince Charlz au ya mtu yeyote maarufu. Hii ni bab kubwa, ameiandaa MUNGU MWENYEWE, Itafanyika Paradizo. Je umechukua TIKETI yako? Ziko huko uliko BURE…Zinaitwa WOKOVU, Unazipata kupitia YESU!   USIKU UMEENDELEA SANA>>>

Tagged with: , , , , ,
Posted in Mafunzo

kifo (umilele)

Kuwa mtu wa IMANI ni mpaka pale tu UFAHAMU WA KIBINADAMU UTAKAPOKUFA…Utakapoacha kuongozwa na MILANGO MITANO YA FAHAMU…Na inatokea tu pale UFAHAMU WA MUNGU unapoumilki Ufahamu wako. Na Ufahamu wako utatiishwa tu pale utakapoliishi NENO LA MUNGU. KIFO>>> Kifo cha

Tagged with: , , , , ,
Posted in Mafunzo

Tumewekwa huru na yesu…..>2

TUMEWEKWA HURU NA YESU ILI KUWAWEKA HURU WENGINE>>> Wiki iliyopita nilikuwa nafanya COUNSELLING kwa dada mmoja ambaye alikuwa amekata TAMAA ya kuishi na alikuwa na kiu sana ya KUJIUA maana alishachoka kuishi na hakuwa na sababu ya kumfanya aendelee kuishi…Alikuwa

Tagged with: , , , , ,
Posted in Mafunzo
yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,212 other followers

Upcoming Events

No upcoming events