Blog Archives

BABA WA KIROHO

(UKWELI KUHUSU BABA WA KIROHO) 1. Si kila aliyekuongoza “sala ya toba” ni baba wa kiroho. Baba wa kiroho ni yule anayekulisha (anayekufanya ukue na usife kiroho), anakufanya umjue Mungu, ujue siri za Ufalme wa Mungu, na utembee ndani yake!

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo

UKWELI KUHUSU MAOMBI

1. Unapojisikia kuomba OMBA kwa maana ni ishara Mungu anakupa kuwa kuna kitu anataka KUFANYA DUNIANI lakini hana uwezo wa kufanya hilo bila wewe kutii na kulisukuma litokee! 2. Unapojisikia kutotaka kuomba OMBA kwa maana ni ishara kuwa SHETANI kuna

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo

BABA WA KIROHO

(UKWELI KUHUSU BABA WA KIROHO); 1. Si kila aliyekuongoza “sala ya toba” ni baba wa kiroho. Baba wa kiroho ni yule anayekulisha (anayekufanya ukue na usife kiroho), anakufanya umjue Mungu, ujue siri za Ufalme wa Mungu, na utembee ndani yake!

Tagged with: ,
Posted in Mafunzo

Kuwa Mkweli

“Ukiuzika uongo utaoza na utasahaulika milele … Lakini ukiuzika Ukweli, ni sawa na kujaribu kuzika mbegu isiyoharibika. Siku moja utachomoza nje toka ulikouficha na utaharibu kabisa taswira ya aliyejaribu kuuficha… Hatuwezi kufanya chochote dhidi ya kweli labda kwa ajili ya

Tagged with: , , ,
Posted in Mafunzo

UKWELI KUHUSU MELI KUBWA YA TITANIC NA CHANZO CHA KUZAMA KWAKE

(Soma Ni Muhimu Kujua Hili Litakusaidia) Watu Wengi Mmesikia Kuhusu Meli Iitwayo TITANIC. Ambao Hamkuwa Mkiijua Sana Basi Mtakuwa Mliiona Ile Picha Ya Romeo Na Julieth. Ile Ilitengenezwa Ikiwa Meli KUBWA Kuliko Zote, SALAMA Kwa Viwango Vya Kimataifa, Na Pia

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo

Huu ndio ukweli wa Mungu aliye Juu

Huu Ndio Ukweli Wa Mungu Aliye Hai Juu Ya Kila Mwanae Aliyemnunua Kwa Damu Ya Thamani Ya Yesu; “MAPENZI YA MUNGU [MATAKWA NA FURAHA YAKE] HAYAWEZI KUKUPELEKA MAHALI AMBAKO NEEMA YAKE HAIWEZI KUKULINDA” Mapenzi Ya Mungu Yalimpeleka YUSUFU Misri Utumwani

Tagged with: ,
Posted in Mafunzo

Huu Ndio Ukweli Wa Mambo

1.Ni Rahisi Kwa Mtu Ambaye Hana ELIMU KUBWA YA DARASANI (FORMAL EDUCATION) Kupata MUUJIZA AU KUTENDEWA JEMA NA MUNGU Kuliko Wale Ambao Ni WASOMI… Kinachowaponza WASOMI, “WANATAKA KUONA KWANZA NDIPO WAAMINI” Au “WANATAKA USHAHIDI NA UTHIBITISHO WA KITAALUMA KUHUSU MUNGU

Tagged with:
Posted in Mafunzo
yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,212 other followers

Upcoming Events

No upcoming events