Blog Archives

USHUHUDA

Marafiki wa mwl tuendelee kupeana shuhuda ambazo Mungu wetu amekuwa akitufanyia nianze na mimi juzi nilienda Brela kwa ajili ya kuregister kampuni yangu. Ukweli sikuwa najua kitu isipokuwa ile tu google iliweza nielekeza namna so nimefika nikakuta watu wengi halafu

Tagged with: , ,
Posted in ushuhuda

CHAKULA CHA WASHINDI No.13

“UPAKO WA KUFANYA ZAIDI YA WENGINE” “BWANA akamwambia Abramu, Toka wewe katika nchi yako, na jamaa zako, na nyumba ya nyumba ya Baba yako, uende mpaka nchi nitakayokuonyesha; nami nitakufanya wewe kuwa taifa kubwa, na kukubariki, na kulikuza jina lako;

Tagged with: ,
Posted in Mafunzo

CHAKULA CHA WASHINDI No12

“UPAKO WA KUFANYA ZAIDI YA WENGINE” “Na Lutu aliyesafiri pamoja na Abramu, yeye naye alikuwa na makundi ya ng’ombe na kondoo na hema. Na nchi ile haikuwatosha, ili wakae pamoja; maana mali zao zilikuwa nyingi, hata wasiweze kukaa pamoja. Kukawako

Tagged with: ,
Posted in Mafunzo

CHAKULA CHA WASHINDI No11

“UPAKO WA KUFANYA ZAIDI YA WENGINE” “Na mwanamke mmoja mwenye kutoka damu muda wa miaka kumi na miwili, na kuteswa mengi kwa mikono ya matabibu wengi, amegharamiwa vitu vyote alivyo navyo, kusimfae hata kidogo, bali hali yake ilizidi kuwa mbaya.

Tagged with: ,
Posted in Mafunzo

CHAKULA CHA WASHINDI No10

“UPAKO WA KUFANYA ZAIDI YA WENGINE” “Akaingia Kapernaumu tena, baada ya siku kadha wa kadha, ikasikiwa kwamba yumo nyumbani. Wakakusanyika watu wengi, isibaki nafasi hata mlangoni; akawa akisema nao Neno lake. Wakaja watu wakimleta mtu mwenye kupooza, anachukuliwa na watu

Tagged with: ,
Posted in Mafunzo

CHAKULA CHA WASHINDI No09

“UPAKO WA KUFANYA ZAIDI YA WENGINE” “Lakini mtu mmoja jina lake Anania, pamoja na Safira mkewe, aliuza mali, akazuia kwa siri sehemu ya thamani yake, mkewe naye akijua haya, akaleta fungu moja, akaliweka miguuni pa mitume. Petro akasema, Anania, kwanini

Tagged with: ,
Posted in Mafunzo

CHAKULA CHA WASHINDI No08

UPAKO WA KUFANYA ZAIDI YA WENGINE Na Mwl Dickson Cornel Kabigumila. “Ikawa makutano walipomsonga wakisikiliza Neno la Mungu, yeye alikuwa amesimama kando ya ziwa Genesareti, akaona vyombo viwili vimekaa kando ya ziwa, lakini wavuvi wametoka, wanaosha nyavu zao. Akaingia katika

Tagged with: ,
Posted in Mafunzo

CHAKULA CHA WASHINDI no07

“UPAKO WA KUFANYA ZAIDI YA WENGINE” Na Mwl Dickson Cornel Kabigumila. “Basi palikuwapo watu wenye ukoma, penye lango la mji; Wakasemezana, Mbona tunakaa hapa hata tufe? Tukisema tutaingia mjini, mjini mna njaa, nasi tutakufa humo; nasi tukikaa hapa, tutakufa vilevile.

Tagged with: ,
Posted in Mafunzo

CHAKULA CHA WASHINDI no06

“UPAKO WA KUFANYA ZAIDI YA WENGINE” Na Mwl Dickson Cornel Kabigumila. “Akasema, mtu mmoja alikuwa na wana wawili; Yule mdogo akamwambia babaye, Baba nipe sehemu ya mali inayoniangukia. Akawagawia vitu vyake. Hata baada ya siku si nyingi, yule mdogo akakusanya

Tagged with: ,
Posted in Mafunzo

CHAKULA CHA WASHINDI no05

“UPAKO WA KUFANYA ZAIDI YA WENGINE” Na Mwl Dickson Cornel Kabigumila. “Basi palikuwa mwanamke fulani, mmoja kati ya wake wa wana wa manabii aliyemlilia Elisha, akisema: Mtumishi wako, mme wangu, amekufa; nawe unajua vema kwamba mtumishi wako alikuwa mcha Mungu.

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo
yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,212 other followers

Upcoming Events

No upcoming events