Blog Archives

MFUNGO WA SIKU 40, (MASAA 12 KUTWA)[SIKU YA 7]

UJUMBE MKUU: ROHO MTAKATIFU NA WEWE. SIKU YA SABA: ROHO WA MUNGU NA UPENDO WA KIMUNGU NDANI YAKO. “…kwa maana PENDO LA MUNGU LIMEKWISHA KUMIMINWA KATIKA MIOYO YETU NA ROHO MTAKATIFU TULIYEPEWA SISI” (Warumi 5:5). “Lakini TUNDA LA ROHO NI

Advertisements
Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo

Wokovu hapa Duniani

“Si misumari iliyomshikilia Yesu Kristo msalabani bali UPENDO wake mkuu kwa mtenda dhambi mimi na mtenda dhambi wewe tupate WOKOVU hapa duniani sasa na kisha UZIMA USIO NA MWISHO pamoja naye mbinguni milele… Mtenda dhambi mimi nimeshaikubali sadaka aliyoitoa kwa

Advertisements
Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo

UKARIMU NA UTOAJI HAVIANGALII HALI YA MAISHA NA UCHUMI

Mtu Anayesubiri Hali Yake Ya Kimaisha Na Uchumi Iwe Nzuri Ndipo Awe Mtoaji Kwa Mungu Na Baraka kwa Wengine KAMWE HALI YAKE HAITABADILIKA! Mungu Anazitumia MBEGU NDOGO NDOGO Tunazopanda Katika Viwango Vyetu Vya Chini Vya Maisha Kutupa Maisha Tunayoyatarajia. PESA

Advertisements
Tagged with: , , ,
Posted in Mafunzo

love is not like life

Kuna Rafiki Kaniandikia Ujumbe Huu, “LOVE IS LIKE LIFE, YOU HAVE TO FIGHT FOR IT” Nami Nikamjibu, “NO BROTHER… LOVE IS NOT LIKE LIFE, BUT IT IS THE SOURCE OF LIFE… IT IS A GIVER OF LIFE… WE HAVE NOT

Advertisements
Tagged with:
Posted in Mafunzo

Nataka Nikuhakikishie Kitu Kimoja

“MUNGU ANA UPENDELEO” Na Siku Zote Yuko Karibu Na Wale “WANAOMCHA… WALE WATENDAO YALE YOTE ALIYOAGIZA” Usiishie Kusoma Sehemu Tu Ya Kwanza Ya Matendo 10:34… “HAKIKA MUNGU HANA UPENDELEO…” Malizia Kipande Cha Mwisho, “BALI KATIKA KILA TAIFA KILA MTU AMCHAYE

Advertisements
Tagged with:
Posted in Mafunzo

KIPIMO KIKUBWA CHA MKRISTO, UPENDO…(1Wakorintho 13)

Yesu alisema, “AMRI KUU NAWAPENI, PENDANENI KAMA MIMI NILIVYOWAPENDA NINYI” (Yohana 16:13) Tena akasisitiza, “WAPENDENI ADUI ZENU, WABARIKINI WANAOWALAANI, WAOMBEENI WANAOWAUDHI” (Mathayo 5:44) Tena akasema, “MPENDE BWANA MUNGU WAKO, KWA MOYO WAKO WOTE, KWA NGUVU ZAKO ZOTE, KWA MALI ZAKO

Advertisements
Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo
yaliyopita
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,217 other followers

Upcoming Events

No upcoming events