Blog Archives

Karibu kahama

​Kazi za kichungaji zinatupa nafasi ya kukutana na mambo ya ndani yanayotesa watu.  Huyu mama maisha yake yalikuwa yanaendeshwa na hiki kibuyu, kinamuotesha ndoto na kumueleza cha kufanya, alikuwa amekonda, ameisha, HABARI NJEMA ZA YESU ZIKAMVUTA KUTUA MZIGO HUO MIGUUNI

Tagged with: , , ,
Posted in Mafunzo

NAMNA YA KUFANYA VITU VIKUBWA VITOKEE KATIKA MAISHA YAKO.

Utangulizi: ~Watu wengi wana vitu Ndani yao lakini wengi wao hawavifanyi kwa kutoa sababu mbalimbali kama vile; ningesoma sana ningekua hivi, ningekua na pesa ningefanya hivi nk. Ushuhuda wa mwalimu Dickson Anasema alianza kidogo katika utumishi wake, hakua na mtu

Tagged with: , , ,
Posted in Mafunzo

Ushuhuda wa Anna Kanza

USHUHUDA BWANA YESU ASIFIWE: NINA KILA SABABU YA KUMSHUKURU MUNGU KWA WEMA,UPENDO NA FADHILI ZAKE KWANGU KILA IITWAPO LEO!! USHUHUDA; NAMSHUKURU MUNGU KWA UPONYAJI WAKE, KWANI NIMETESEKA KWA MAUMIV YA TUMBO LA UZAZI KWA ZAIDI YA MWAKA. NA NILIPOFANYIWA VIPIMO

Tagged with:
Posted in ushuhuda

Ushuhuda wa Engineer Jane Mdulla

SHUHUDA Nilikuwa na addiction ya kula udongo tangu mwaka 2003 nilipokuwa mjamzito hali ambayo niliichukulia kawaida na haikunipa shida mwaka 2011 nikiwa mjamzito tena hapa nilikula udongo kwa kasi ya ajabu ilifikia nikija Mwanza ninanunua hata plastic kubwa la udongo

Tagged with:
Posted in ushuhuda

USHUHUDA

Marafiki wa mwl tuendelee kupeana shuhuda ambazo Mungu wetu amekuwa akitufanyia nianze na mimi juzi nilienda Brela kwa ajili ya kuregister kampuni yangu. Ukweli sikuwa najua kitu isipokuwa ile tu google iliweza nielekeza namna so nimefika nikakuta watu wengi halafu

Tagged with: , ,
Posted in ushuhuda

Ninao Ushuhuda

Morning LOD na kaka mkuu mimi ninao ushuhuda ambao umenifanya kuwa na raha sana toka jana ucku Ni hivi: mama yangu alikuwa anasumbuliwa sana na maumivu ya miguu hospitali walimwambia ana ugonjwa wa baridi yabisi , sasa toka wiki iliyopita

Tagged with:
Posted in ushuhuda

Nina USHUHUDA

  Bwana YESU Asifiwe wapendwa!Nina USHUHUDA! Nilienda hospital week iliyopita jumatatu kilinitokea kitu kama uvimbe maeneo ya tumboni upande wa kulia. nilipofika hospital doctor akaangalia na kuniambia kuwa huo uvimbe ni dalili ya kansa ya matiti,kwa kweli nilikosa amani na

Tagged with:
Posted in Mafunzo, ushuhuda

USHUHUDA WA R.W. SHAMBACH

“USISEME KWA SAUTI- WAKRISTO WENGI HAWAJUI HILI” Wakati Nikiwa Kijana Mdogo Kiumri, Na Nikiwa Najifunza KAZI YA MUNGU Chini Ya Kaka Na Rafiki Yangu A.A.ALLEN, Siku Moja Wakati Wa Mikutano Ya Uponyaji Na Kufunguliwa Watu, Alitokea Mama Mmoja Aliyekuwa Na

Tagged with: ,
Posted in Mafunzo

Ushuhuda huu utageuza Maisha Yako:Usome ukusaidie

Karibu Miezi Miwili Iliyopita, Nilitembelea Group Mojawapo Hapa Facebook Na Kukutana Na Dada Gwantwa Wilson Akiwa “Ame-post” Ujumbe Juu Ya Matatizo Ya Kiafya Aliyonayo Hasa Tatizo La PUMU [ASTHMA] Ambalo Lilikuwa Likimsumbua. Nilipoiona Ile Post Yake, “HURUMA YA KIMUNGU [Compassion]”

Tagged with:
Posted in ushuhuda

Tunajambo lakushuhudia

Mungu akikupa nafasi ya kuiona siku mpya, na kuwa hai katika siku hiyo, huo ni ushahidi tosha kuwa; 1. Mungu ana kazi na maisha yako bado na kama ana kazi na wewe, uwe na uhakika Mungu atayagharamia maisha yako katika

Tagged with:
Posted in Mafunzo
yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,212 other followers

Upcoming Events

No upcoming events