Blog Archives

FUTURE HUSBANDS

There Are “Many Women” Who Can Become Your “Companion” If You Decide To… But There Is Only One Woman Among Many Whom God Ordained For You To Be “Your Wife”… God Took Only “One Rib” From Adam To Make Him

Tagged with: , , ,
Posted in Mafunzo

Nakupenda zaidi Leo

Ikupa Mercy Kyomo nakupenda zaidi leo kuliko nilipokutamkia siku ile ya kwanza BAADA YA SEMINA YA MWAKASEGE JANGWANI miaka 2 iliyopita! Nitakupenda zaidi kadri muda unavyokwenda maana nina TABIA KAMA YA BABA YANGU YA KUTOKA UTUKUFU HATA UTUKUFU KWENYE KILA

Tagged with: , , ,
Posted in Mafunzo, ndoa

HEKIMA ZA NDOA 7

“Hakikisha unazungukwa na marafiki wenye ndoa na wasio na ndoa ambao wanasema siku zote ‘NDOA YANGU HAIWEZI KUVUNJIKA MPAKA KIFO KITUTENGANISHE AU YESU ARUDI KUTUNYAKUA’ Epuka watu wanaolalamika na kuwalaumu Waume/ wake zao hao WAMESHINDWA… Enenda na wenye hekima nawe

Tagged with: ,
Posted in ndoa

HEKIMA ZA NDOA 6

“Ukioa au kuolewa, kama umefuata mchakato huu: Ulimshirikisha Mungu akusaidie kumpata mwenzi wa maisha… Ukajiridhisha kwamba huyo ndo AMEKUKAMATA DUNIA NZIMA na ukajiridhisha kuwa kwako ametia nanga… Akakubali kukutambua na kukutambulisha kwa wachungaji (watumishi wa Mungu), Wazazi na ndugu… Akakutolea

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo

HEKIMA ZA NDOA 5

“Ni mwanandoa mpumbavu pekee anayesubiri aombwe msamaha ili asamehe; Maana waweza kukuta kile unachoona kama kosa, mwenzako anaweza asikione hivyo, kwa kutosamehe ufa huo unaweza kabisa kuiangusha ndoa siku moja. Ni mwanandoa asiye na akili anayesubiri mmewe/mkewe aje kumwambia kosa

Tagged with: , ,
Posted in ndoa

HEKIMA ZA NDOA 4

“Ndoa ni taasisi ambayo unaungana na mtu mwingine ambaye ANAWEZA KUKUTIA MOTO kwenye KULIFUATA NA KULITIMIZA KUSUDI LA MUNGU… Wawili sahihi kila mmoja anakuwa CHUMA KINACHOMNOA MWENZIE kuliishi na kulitimiza kusudi la Mungu walilopewa! Kama unaoa au kuolewa, hakikisha unaolewa

Tagged with: ,
Posted in ndoa

HEKIMA ZA NDOA 3

  “Kusudi la ndoa ni kujenga TIMU YA WANAOSADIANA NA KUINUANA. Wawili ni bora kuliko mmoja, MAANA MMOJA AKIANGUKA, MWENZIE ATAMUINUA. Ndoa sahihi ni muunganiko wa watu wawili wanaotakiana mema, ambapo KILA MMOJA ANAISHI KWA AJILI YA MAFANIKIO NA USTAWI

Tagged with: ,
Posted in ndoa

KILA MWANANDOA MTARAJIWA NA MWANANDOA TAYARI.

Jikumbushe haya kuhusu ndoa: 1. Ndoa ni agano la milele mpaka kifo (ajiandae kwa hilo kiakili, kiufahamu, kihisia na kiroho)! Ukikurupuka kama fashion au kufikiri ni mahali pa kulala na kula bata, wafaaa! 2. Ni muhimu ujue ndoa ni vita

Tagged with: , ,
Posted in ndoa

NDOA

“Matatizo yote yanayotokea kwenye ndoa yanatokana na wanandoa WAPUMBAVU wanaooa na kuolewa na watu ambao HAWAJUI THAMANI YAO… Mwanaume akioa mke ANAYEONA THAMANI YAKE (ALICHOBEBA ASICHOKUWA NACHO MWINGINE), hatahitaji mtu yeyote kumwambia MPENDE MKEO, Kila chenye THAMANI KUBWA KWAKO UTAKIPENDA

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo, ndoa

NDOA

“Haiunganishi familia mbili bali inazalisha familia mpya ya tatu… Inayojiendesha, kujitawala, kujiamulia na kujichagulia mambo yake… Familia hii mpya ya tatu inakuwa na kusudi na maono tofauti kabisa na ya familia mbili walikotokea… Wanapaswa kujua kilichowaunganisha na kukubali kuacha na

Tagged with: ,
Posted in ndoa
yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,212 other followers

Upcoming Events

No upcoming events