Blog Archives

NDOA

Haikuanzishwa Na WANADAMU Bali MUNGU Ndiye Aliyeanzisha TAASISI HII… Imeanzishwa Na MUNGU Ambaye Ni Roho, Uwe Na Uhakika Haiwezi Kuendeshwa Kwa Kutegemea AKILI, HEKIMA NA MAARIFA YA WANASAIKOLOJIA, WASHAURI WA MAHUSINO Nakadhalika. Kama Ni Ndoa LAZIMA Kwanza MSINGI WAKE Uwe

Tagged with: , , ,
Posted in ndoa

KWA WAOAJI NA WAOLEWAJI

“Ukiona moyo wako unasita na amani imepotea kuhusu huyo dada au kaka na umejitahidi kuendelea naye hivyo hivyo lakini bado amani na furaha yako ya mwanzo kwake imepotea; FANYA MAAMUZI, ACHANA NAYE KWA AMANI KABISA. MWITE, MWAMBIE UKWELI NA MUACHANE

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo

KWA WAOAJI NA WAOLEWAJI

“Kama huyo dada au kaka uliyenaye umemkuta na ushahidi zaidi ya mara moja kwamba ana mtu au watu wengine zaidi yako; ACHANA NAYE. Hiyo ni tabia yake, hataiacha ndani ya muda mfupi uliobakia wa kuelekea ndoa. Labda akutane na Yesu

Tagged with: , , ,
Posted in Mafunzo, ndoa

WAOLEWAJI

“Kila mwanamke anayeolewa na mwanaume mwenye maono, ndoto na kusudi sawa na lake atafurahia maisha. Maana watakuwa na lugha moja, mpango mmoja, watapita pamoja kwenye kila bonde la uvuli wa mauti, kwenye moto na maji mengi na mmoja akichoka mwingine

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo, ndoa

KWA WAOAJI

Kama unatafuta “Wife material” ujiandae pia kuwa “constructive husband” ili kuibadilisha “material” kuwa “product”… Au mwamini Mungu akupe “Mke” ambaye neema na ukamilifu wake [Mungu] vitakufanya useme, “Binti za watu wamefanya mambo mengi mazuri lakini wewe mke wangu umewazidi wote”…

Tagged with: ,
Posted in Mafunzo

KWA WAOAJI

“Ninajua Kati Ya Tabia Ya Mungu Ni KUCHUNGULIA KWENYE MOYO WA MTU, Kisha AKIONA HAJA YA MOYO WAKO ILIYO SAWA NA MAPENZI YAKE Anachukua Hatua KUKUPA HAJA YA MOYO WAKO…. Kwa Mtaji Huu, Naamini Kabisa Kwamba Mungu ALIUONA UHITAJI WA

Tagged with: ,
Posted in Mafunzo

KWA WAOAJI TU

“Ni Hekima Ya Mungu Kumpa Mwanadamu MALIGHAFI [Raw Materials] Ili Yeye [Mwanadamu] Afanye Sehemu Yake KUZIFANYA KUWA BIDHAA HALISI [Products]… Mungu Anakupa MTI Na Ni Wajibu Wako Kuugeuza UBAO, Kisha Ubao Uwe KITI, KITANDA, KABATI, SANDUKU, JUKWAA Nakadhalika; Lakini Hautapewa

Tagged with: ,
Posted in ndoa

KWA WAOAJI TU

“Ukimuona Mwanamke Ambaye AMEKAMILIKA TAYARI [Product] Ujue Kuna Mwanaume Mwingine Ambaye AMEINGIA GHARAMA Kumfanya AHAME TOKA KWENYE MALIGHAFI [Raw Material] Mpaka Kuwa Vile Alivyo… UKIONA VYAELEA UJUE VIMEUNDWA” Mwl D.C.K dicoka@rocketmail.com

Tagged with: , ,
Posted in ndoa

KWA WAOAJI NA WAOLEWAJI

MWANAMKE ANAYESUBIRIA VYA MME WAKE, ANA MATATIZO [MITH. 31:10-31]. “Inawezekana Wewe Ni Binti Haujaolewa, Na MWAMINI [Unamwamini Yesu Na Biblia] Lakini Cha Ajabu HAUJISHUGHULISHI KUWA NA UCHUMI MZURI… Yaani Umekaa kaa tu [Kama Golikipa Wa Timu Isiyoshambuliwa]… Kwa Kifupi UMEBWETEKA…

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo, ndoa

Waoaji na Waolewaji

Ukiwa Na MUNGU MKUBWA NDANI YAKO (1Yohana 4:4) Na AKILI KUBWA (2Timotheo 2:7) Hata Bila MIKONO NA MIGUU YA MWILI [Ukiwa Na Mikono Na Miguu Ya ROHO NA AKILI] Utapata MWENZI SAHIHI WA MAISHA… Salamu Kwa WAOAJI NA WAOLEWAJI. Mwl

Tagged with: , , ,
Posted in Mafunzo
yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,212 other followers

Upcoming Events

No upcoming events