Blog Archives

UNATAKA KUOLEWA? UMEJIPANGAAA?

Akina Dada Wanapenda Sana Kuolewa; Lakini Ni Wachache Sana Wanajua Namna Ya Kukaa MKAO WA KUOLEWA, Na Pia Namna Ya Kuchambua Kati Ya MWANAUME MUOAJI NA MWANAUME MUONJAJI! Maua Yana Tabia Ya KUJIFUNGA, Lakini Yanajua Pia Muda Sahihi Wa KUCHANUA

Tagged with: , , ,
Posted in Mafunzo, ndoa

FUTURE HUSBANDS

There Are “Many Women” Who Can Become Your “Companion” If You Decide To… But There Is Only One Woman Among Many Whom God Ordained For You To Be “Your Wife”… God Took Only “One Rib” From Adam To Make Him

Tagged with: , , ,
Posted in Mafunzo

KWA WAOAJI NA WAOLEWAJI

“Ukiona moyo wako unasita na amani imepotea kuhusu huyo dada au kaka na umejitahidi kuendelea naye hivyo hivyo lakini bado amani na furaha yako ya mwanzo kwake imepotea; FANYA MAAMUZI, ACHANA NAYE KWA AMANI KABISA. MWITE, MWAMBIE UKWELI NA MUACHANE

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo

KWA WAOAJI NA WAOLEWAJI

“Kama huyo dada au kaka uliyenaye umemkuta na ushahidi zaidi ya mara moja kwamba ana mtu au watu wengine zaidi yako; ACHANA NAYE. Hiyo ni tabia yake, hataiacha ndani ya muda mfupi uliobakia wa kuelekea ndoa. Labda akutane na Yesu

Tagged with: , , ,
Posted in Mafunzo, ndoa

MAHUSIANO YA KUELEKEA NDOA

NINI KUSUDI LA MAHUSIANO? 1. Kukutengenezea mazingira ya kujifunza kupitia kwa mtu mwingine. Hii ina maana kuna vitu huvijui na hutavijua kuhusu wewe, Mungu, imani, mazingira, uchumi nakadhalika ukiwa peke yako, ila AKIONGEZEKA HUYU MTU kwenye maisha yako, UKILICHUKULIA KAMA

Tagged with: , , , , ,
Posted in Mafunzo

WADADA WAOLEWAJI

“Sifa mojawapo kubwa sana ya MME BORA WA KIBIBLIA ni awe KIONGOZI WA MASUALA YA MUNGU NA IBADA katika Familia yake… If he is not GODLY and real GOD FEARING PERSON… Kiroho chako na usalama wa roho yako uko hatarini…

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo

WADADA WAOLEWAJI

“Usiolewe na mwanaume ambaye hauoni waziwazi ni KIONGOZI… Mwanaume ambaye ukimtazama wewe ndiye karibu unamuelekeza na kumfundisha kila kitu, huyo hafai… Mwanaume ni KICHWA… Lazima awe na macho (maono), na masikio (uwezo wa kupata habari njema za kuwavusha kwenye kila

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo

WAOLEWAJI

“Kila mwanamke anayeolewa na mwanaume mwenye maono, ndoto na kusudi sawa na lake atafurahia maisha. Maana watakuwa na lugha moja, mpango mmoja, watapita pamoja kwenye kila bonde la uvuli wa mauti, kwenye moto na maji mengi na mmoja akichoka mwingine

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo, ndoa

KWA WAOLEWAJI TU

“Kati Ya Mambo Unayopaswa Kuyachunguza Kuhusu Mtu Anayetarajia Kukuoa NI UAMINIFU NA UADILIFU Kwenye MALI NA PESA YA UMMA, KAMPUNI Au WATU WENGINE… Ukiona Huyu MTARAJIWA WAKO Ana MTAZAMO [MINDSET] Ya Kuwa Tayari KUPIGA HELA YA KAMPUNI, SERIKALI AU MTU

Tagged with: ,
Posted in ndoa

KWA WAOAJI NA WAOLEWAJI

MWANAMKE ANAYESUBIRIA VYA MME WAKE, ANA MATATIZO [MITH. 31:10-31]. “Inawezekana Wewe Ni Binti Haujaolewa, Na MWAMINI [Unamwamini Yesu Na Biblia] Lakini Cha Ajabu HAUJISHUGHULISHI KUWA NA UCHUMI MZURI… Yaani Umekaa kaa tu [Kama Golikipa Wa Timu Isiyoshambuliwa]… Kwa Kifupi UMEBWETEKA…

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo, ndoa
yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,212 other followers

Upcoming Events

No upcoming events