Blog Archives

FAHAMU UWEZA NA NGUVU YA KUSHUKURU

Je Ulikuwa Unajua Kuwa Kushukuru Ni Hatua Ya Kwanza Na Ya Muhimu Kuelekea Kupokea Muujiza Wako Na Majibu Yako Toka Kwa Mungu? Huu Ndo Ukweli Tunaoupata Kwenye Neno La Mungu; Kushukuru Kabla Ya Kukiona Kile Ukitarajiacho Kwa Mungu Ni Ishara

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo

Yesu amechukua magonjwa yetu

“Maandiko yanasema YESU AMEYACHUKUA MAGONJWA YETU, NA KUYATWAA MADHAIFU YETU (Mathayo 8:17-18). Mimi SITAKI KUYACHUKUA, WALA SIMTUI HAYO MAGONJWA, KAMA KAYACHUKUA, SI YANGU HAYANIHUSU, KAMA KAYATWAA, SITARAJII KUWA NAYO, MIMI SI MKRISTO MJINGA ANAYEAMINI KUNA MBINGU ANAYOKWENDA HALAFU ANARUHUSU SHETANI

Tagged with: , , , ,
Posted in Mafunzo

Ufalme wa Mungu

Yesu Aliwahi Kusema, “MAKAHABA NA WATOZA USHURU WATAWATANGULIA KATIKA UFALME WA MUNGU” Kinachowafanya Hawa Makahaba Na Watoza Ushuru Wawe Na Uwezekano Wa Kuingia Na Kuwatangulia Wale WALIOKO KANISANI, Ni Kwa Sababu HAWA DHAMBI YAO IKO WAZI, HAWANA UFICHO, NA WAKISIKIA

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo

POKEA MAJIBU YAKO

Wakristo wengi ni wepesi wa kwenda mbele za Mungu kupeleka Maombi, Dua na Sala zao kwa BWANA, ila si wepesi wa kupokea toka kwa Mungu. Wanaamini Mungu anayakubali na kuyapokea maombi yao, sala na dua ila hawana UHAKIKA KAMA MUNGU

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo

YESU WA KWANGU

“Upana wangu wa Neno la Mungu hauishii kwa YESU ANAYESAMEHE DHAMBI TU, YESU ANAYEANDAA MAKAO MBINGUNI KWA AJILI YANGU… Pia NINAMJUA NA NINAMUAMINI YESU AMBAYE anafundisha watu kuomba WAPEWE MKATE WA KILA SIKU KABLA YA KUOMBA WASAMEHEWE DENI ZAO KAMA

Tagged with: ,
Posted in Mafunzo

Tafuta msaada uwe huru

Ukishatoka tu kwenye “mwili wako” damu ya Yesu haina tena nguvu ya kukutakasa! Ukishafariki na kuuacha mwili wako, haijalishi utalia na kumbembeleza Mungu kiasi gani, KAMA HAUKUWA MTAKATIFU, UMEPOTEA MILELE! Wale ambao WANAISHI NA KUPUMUA BADO hao ndio wanaweza KUITUMIA

Tagged with: , , , , , ,
Posted in Mafunzo

MKRISTO

“Watu hawana haja ya kuambiwa kuhusu YESU wasiyemuona kwako. Watu wanataka WAMUONE YESU anayeongea, anayetembea na kufanya vitu kupitia wewe. Wasipomuona kwako, hawatakusikiliza ukimsoma kwenye maandiko” (Matendo 1:8). ‪#‎Shahidi‬ lazima awe na ‪#‎Ushahidi‬ *Wanamtaka YESU ULIYENAYE si unayemsoma kwenye Biblia*

Tagged with: , , , ,
Posted in Mafunzo

Haijalishi

“Haijalishi umetokea familia yenye BACKGROUND MBAYA KIASI GANI unaweza kuwa wa kwanza kumleta Mungu nyumbani kwako” (Mwanzo 4:25-26).

Tagged with: ,
Posted in Mafunzo

FAHAMU THAMANI NA NGUVU YA DAMU YA YESU

1. Ni uhai wa Mungu uliotutoa mautini kutuingiza uzimani (1Petro 1:18-19, Yoh 5:24). 2. Damu ya Yesu ni tiketi na ufunguo pekee uliotuingiza kwenye familia ya Mungu (Ufunuo 5:8-10) 3. Ni silaha ya vita inayompa ushindi mtu aliye katika familia

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo

Baada ya Kifo

“Na kama vile watu wanavyowekewa kufa mara moja na BAADA YA KIFO NI HUKUMU (Waebrania 9:27)… Siku za mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke NI CHACHE TENA ZIMEJAA UCHUNGU” (Ayubu 14:1)… Una maisha mafupi ndugu yangu, muda si mrefu utakufa… Na baada

Tagged with: , ,
Posted in Mafunzo
yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
Ungana nasi kwenye kurasa yetu  ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,212 other followers

Upcoming Events

No upcoming events