Vitabu

fahamuSASA, PATA NAKALA YAKO NA UMSOMESHE MTOTO…Do it, it is your task!Bwana Yesu asifiwe wapendwa.Namshukuru Mungu kwa wingi wa Neema yake, na rehema zake ambazo ni mpya kila iitwapo leo. Leo tar 18/04 nimefanikiwa kupata vile vitabu vya ‘FAHAMU UWEZA NA NGUVU YA JINA LA YESU; JINA MOJA FUNGUO 3 TOFAUTI’ Na ninazo nakala 500 na kila nakala ni sh 3000 kwa wanafunzi na sh 4000 kwa raia wa kawaida kama mimi. Hela yote itakayopatikana (ukiondoa gharama za uchapaji) itatumika kuanzisha mfuko wa ELIMU wa Wanafunzi wa Kikristo walio katika mazingira Magumu na wale walio yatima ulio chini ya ASSOCIATION OF BORN AGAIN CHRISTIANS with IMPACT (ABACT with IMPACT). Ukinunua kitabu hiki utapata UJUMBE ULIOMO lakini pia utakuwa PARTNER wangu na kwa pamoja tutayagusa maisha ya hao watoto na kuujenga ufalme wa Mungu. Japo sikuzuii kuchangia zaidi ya hela ya kitabu, kama una uhuru na hilo…hauninui bidhaa, bali unatoa sadaka na kuueneza ufalme wa Mungu. Kama umeelewa na uko serious na unahitaji nakala tuwasiliane kwa simu na si vinginevyo, TAFADHALI ZINGATIA HILO MPENDWA. Namba yangu ni 0655 466 675 au 0753 466 675.

SABABU SABA ZA KIBIBLIA
Hiki Ni Kitabu Changu Kidogo, Kiitwacho, “SABABU SABA ZA KIBIBLIA, KWANINI USIWE MGONJWA”
Utakipata Kwa SADAKA YAKO YA SH. 2000/=
Maana Ni Muhimu Tujue Kuwa, “HATUWEZI KUNUNUA UFUNUO”… Hivyo Hiyo SADAKA Yako IMEWEKWA ILI KUPANUA WIGO WA HUDUMA KUFIKA KWA WENGINE WENGI.
Ubarikiwe.
Advertisements
9 comments on “Vitabu
 1. agatha says:

  Mungu akubariki sana,kazi yako ni njema

 2. Yusuph says:

  Mungu akubariki mtumishi wa Bwana,kazi yako ni njema sana,Roho wa Mungu anaekuongoza kuyafanya haya kuna makubwa ambayo shetani anakwenda kubaki mdomo wazi kwa kile ambacho idadi ya vijana wanakwenda kumtumikia Mungu wa kweli,HALLELUYAH!

 3. ngitu says:

  nimebarikiwa na somo la jinsi ya kujinasua kwenye sadaka iliyotolewa kwenye madhabahu ya miungu

 4. leonard mhuja says:

  amina

 5. Andrew Amos says:

  kazi yako utalipwa na mungu usipozimia moyo, nakuombea mungu akupe mafunuo zaidi

 6. Pastor Seni says:

  Pastor Seni from Divine FM KAHAMA, NIMEBARIKIWA SO, KEEP IT UP MY DEAR BRO

 7. Niindaely Henry Msangi says:

  mm ninahitaji hivyo vitabu mungu akubariki na akuze kipaji chako 0655944846/0765457113

Toa mawazo,maoni

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

yaliyopita
Habari iliyotazamwa sana
Ungana nasi kwenye kurasa yetu ya facebook na like page yetu-kuweza kutangaza neno la bwana na utabalikiwa sana..kwa kazi yako kuu kwani thawabu yako mbinguni ni tele

Andika E-mail kwenye box hapo chini kisha Bonyeza (jiunge Hapa)na uweze kujiunga na tovuti hii kupitia e-mail yako utakayojisajilia,tutaweza kukupa kila taarifa,habari zinazojili kwenye hii blog yetu asanteni

Join 2,212 other followers

Upcoming Events

No upcoming events

%d bloggers like this: